Hii concept ya umiliki ndo ya kuachana nayo ibaki ndoa kama mapenzi baina ya watu wawili ambayo yanaweza kuisha. Vitu vinavyomilikiwa ni vitu visivyo na utambuzi au vyenye akili ndogo mfano shati, gari, kuku, bata, punda.
Faida ya ndoa ni mapenzi na malezi ya uzao wako chini ya familia moja baasi mengine ni nadharia tunazoishi nazo kinafiki.
Mkeo Akipeleka uke wake sehemu tofauti kuumia hakukwepeki ila kiwango kitategemeana na huo umiliki uliojipa wa kusadikika.
Mwanangu wa kike akiwa malaya ni mwanangu. Yeye kuwa mwanangu haifuti umalaya wake likini ni mwanangu na sitamkana, nitakuwa sehemu ya aibu yake sababu ni mwanangu.