Nina wasiwasi na mke wangu...

Nina wasiwasi na mke wangu...

Yani Mungu anisaidie nisifanyiwe hivyo maana jela ntaenda bila kupenda kuchapiwa kunauma sana.
Kisa cha kusota jela nini? Mbususu tu?
Nenda jela uzisikie mbususu kwenye radio 📻
 
Mkuu huko ni mbali sana kuitwa bila kupewa sababu, yani leo ndugu yako yuko mkoa aseme njoo haraka ukija nitakuambia sababu ya kukuita we unaweza kwenda?? Haiingii hata akilini upoteze nauli bila kujua why unaenda[emoji3] mkeo genius.
Kwanza mke wa mtu kisheria ruhusa anatoa mume,haya huyu imekuaje eti aitwe na dada zake kirahisi km boyfriend vilee wanapata wapi mamlaka hyoo ya kufanya hvyoo
 
Mkuu nilimruhusu sababu yakusema ameitwa na dadazake but haijulikani nini shida kwakuwa ni familia yake nikamruhu aende ili tujue nini shida huko
Be a man broh!seems like huna mamlaka, mwanaume kiume na kiume ni kusimama imara bila kuyymbishwa
Mkeo Yuko chini yako
 
Jaman tunaowajua wanawake wa singida msimwambie ukweli huyu jamaa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Usijecheka cheka na mwanamke kwenye mambo ya msingi
 
Hapana mkuu huwa naamua lakini hii sikutaka ku doubt coz nikimkataliga safar analalamika na kuona namuonea lakini pia nikwasababu tu kaeleza kuwa kaitwa na hajui nini shida kwa heshima tu za mashemeji nikamuacha aende ili akirud anieleze vizur hicho kilichomfanya akaitwa huko
Braza hao shemeji zako walipaswa kupiga simu kwako pia.
 
Dah how yani umemruhusu vipi kwanza safari kama hizo?
Ahahah balaa.
Mimi yf ni mwalimu secondary ila sasa kwa misingi ya nyumbani kwangu nilioiweka na yeye anaijuia imefika hatua mpaka akipokea barua toka baraza ya kwenda iadha kusimamia mitihani au kusahihisha mitihani mkoaninau wilaya nyingine basi mapema najuzwa "sasa mume wangu nimepata barua , je niende au nikatae wito?".

"Baba watoto week 3 zijazo kuna semdoff au kicheni party ninaomba nikajumuike huko"

Etc.

Hii ya kukurupushana aisee dhahir shahir ni kukosewa adabu kuliko pita kikomo
 
" Insecurities" hazijawahi kumuacha mtu salama.Akili yako imeshakwambia kwamba mke wako anachepuka huko Dodoma.
 
Yani wewe Kila analokuambia unaitikia ndio tu hapo umekosea sana Yani umeruhusu mkeo skaliwe kirahisi hivyo pole sana
 
Back
Top Bottom