Nina wasiwasi na uwezo na elimu ya Chalamila, alikuwaje mkuu wa mkoa ?

Nina wasiwasi na uwezo na elimu ya Chalamila, alikuwaje mkuu wa mkoa ?

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Huyu jamaa natamani kujua education background yake, nahisi kama hata darasa la 7 hajamaliza.

Alifikaje kuwa mkuu wa mkoa ?

Alifikaje ?

Unajua zaman mifumo ulikuwa loosely watu wamefoji sana vyeti na safisha ya JPM haikula hata 30% ya waliofoji.

Huyu jamaa hana uwezo wa kuanalyze matatizo ya mkoa wake critically na kutoa solution kama mkuu wa mkoa na msomi, huwa ishu za msingi ndani ya mkoa wake anazisolve kicomedy na maneno Fulan hivi ya standard 7 failures.

Alifikaje kuwa mkuu wa mkoa? Yaani CCM dah

Zamani CCM ilikuwa na watu makini sana, sijui ule mfumo wa selection creams ulifia wapi, ilikuwa zamani kuna kikosi maalum ku identify creams kuanzia mashuleni na makazini, mwisho wa siku unajikuta upo state na hujui umeingiaje.. now days identification umefeli sana na kwenye position kuna viumbe vya ajabu sana kuhold ofisi za Umma.

Ukimuangalia chalamila, unajiuliza alifikaje hadi level za mkuu wa mkoa, yaani mtu kiazi na karai ndio anakua head of region kweli?

Critically anakuaje mkuu wa mkoa kama Dar , thinking capacity as a leader ipo chini, natamani sana apigwe audit ya vyeti vyake, jamaa hana uwezo. Hata Wafanyabiashara kugoma ni low capacity yake ya kushindwa ku comprehend mambo na kusuggest solution, alifikaje huko juu?
Mmmh

Nafasi za mkuu wa mkoa ziwekwe utumishi, watanzania wenye sifa wawekwe, nchi inaongozwa na makarai snaa
 
Huyu jamaa natamani kujua education background yake, nahisi kama hata darasa la 7 hajamaliza.

Alifikaje ?

Unajua zaman mifumo ulikuwa loosely watu wamefoji sana vyeti na safisha ya JPM haikula hata 30% ya waliofoji.

Huyu jamaa hana uwezo wa kuanalyze matatizo ya mkoa wake critically na kutoa solution kama mkuu wa mkoa na msomi, huwa ishu za msingi ndani ya mkoa wake anazisolve kicomedy na maneno Fulan hivi ya standard 7 failures.

alifikaje kuwa mkuu wa mkoa? Yaani CCM dah

Zamani CCM ilikuwa na watu makini sana, sijui ule mfumo wa selection creams ulifia wapi, ilikuwa zamani kuna kikosi maalum ku identify creams kuanzia mashuleni na makazini, mwisho wa siku unajikuta upo state na hujui umeingiaje.. now
Aliteuliwa
 
Kibaraka wa ccm... harafu ni rafiki wa Mzee wa msoga...huyu jamaa alikuwa mwalimu wangu pale TABATA wazazi...!

Kwa kusoma inawezekana amesoma kweli ila kichwani tu ndio kumeoza...na sidhani kama anatumia kilevi Chochote😂😂😂​
 
Naona mnatetea wakwepa Kodi,tozo pia mlipinga,kukopa mnapinga mpaka ndoton,Ila mnataka projects za maendeleo zifanywe
 
Nasikia alikuwa senior lecturer sijui chuo gani.

Kuna siku (miezi michache tu iliyopita) mafuriko yametokea dar, nikamsikia anahojiwa na radio ya nje nadhani ni BBC swahili, akawa anatoa yale majibu yake ya comedy kuwa dar hakuna mafuriko bali maji yamepita njia yake, na serikali haishughuliki na kuwasaidia waathirika kwani serikali kazi yake ni kurekebisha miundombinu ya umma kama imeharibiwa kama vile barabara na madaraja. Mtangazaji anasisitiza maswali yake "... lakini mhe mkuu wa mkoa, tayari janga limeshatokea na wananchi wameathirika, na serikali ndiyo ina jukumu la kuwasaidia, je serikali itaacha jukumu lake na kuwatelekeza wananchi?", jamaa akawa anaendelea kujibu utumbo wake huo.

Nilipiga picha na kujiuliza huko nje wanatuonaje kama viongozi wakubwa wanaongea kama wanywa ulanzi kilingeni tena kwenye serious issues kama ile, nikajionea aibu mwenyewe japo nilikuwa mwenyewe ndani na radio yangu alfajiri ile. Ile comedy yake kuwa serikali haitoshughulika kuhamisha watu ila maji yatasaidia ilitrend na kuchekesha kwakuwa janga lilikuwa halijatokea. Lakini baada ya janga kutokea na watu wameumia halafu kiongozi unaendeleza kauli za namna hiyo unakuwa huchekeshi tena bali kila mtu anakushangaa na kukuona hujitambui.

Kwakweli tuna viongozi mizigo nchi hii, na ukiunganisha na umbumbumbu wa wananchi ndo balaa kabisa, hata kuendelea hatuwezi.
 
Huyu jamaa natamani kujua education background yake, nahisi kama hata darasa la 7 hajamaliza.

Alifikaje kuwa mkuu wa mkoa ?
Huyu jamaa hana uwezo wa kuanalyze matatizo ya mkoa wake critically na kutoa solution kama mkuu wa mkoa na msomi, huwa ishu za msingi ndani ya mkoa wake anazisolve kicomedy na maneno Fulan hivi ya standard 7 failures.

Ukimuangalia chalamila, unajiuliza alifikaje hadi level za mkuu wa mkoa, yaani mtu kiazi na karai ndio anakua head of region kweli ?
Mmmh
Naunga mkono hoja, fikra zake, kauli zake na matendo yake, yamekaa ki komedi komedi, ila kwa usomi, huyu ni Ph.D candidate!, ila mimi niliwahi kuuliza humu This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?
P
 
Back
Top Bottom