Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasoma UDSM undergraduate. Au unadhani ni form six failure kama Mbowe?Kitu gan
Chawa!!!!!!!!!!!!!!!Hiyo kazi haiitaji Mtu Smart, ukiwa Chawa tu inatosha.
Kila ukiongea we sema MAMA! MAMA! halafu unaanza kukata viuno.
Au kawa RaisiKudadeki hii INCHI ukiweza kuwa mpiga PAMBIO hodari unakula TEUZI
unaweza ukalala ukaamka
ukasikia MWIJAKU Kawa mkuu wa mkoa wa DSM
Kama UDSM inatoa product kama hizo, basi Tanzania hakuna elimu, ni mchongo mchongo. Jamaa ni hana akili sijui kama unaelewa, Mbowe ana madhaifu yake but sio mjinga kama huyo jamaa. Mbowe akisimama unajua mtu msomi anaongea, sio huyo uharo
Duuh yaani UDSM ndio inatoa graduate kama huyu!? hatari sanaNi graduate wa UDSM
Usimchukulie poa Elimu ya darasani anayo, ya Uongozi sina hakika...Huyu jamaa natamani kujua education background yake, nahisi kama hata darasa la 7 hajamaliza.
Alifikaje kuwa mkuu wa mkoa ?
Alifikaje ?
Unajua zaman mifumo ulikuwa loosely watu wamefoji sana vyeti na safisha ya JPM haikula hata 30% ya waliofoji.
Huyu jamaa hana uwezo wa kuanalyze matatizo ya mkoa wake critically na kutoa solution kama mkuu wa mkoa na msomi, huwa ishu za msingi ndani ya mkoa wake anazisolve kicomedy na maneno Fulan hivi ya standard 7 failures.
Alifikaje kuwa mkuu wa mkoa? Yaani CCM dah
Zamani CCM ilikuwa na watu makini sana, sijui ule mfumo wa selection creams ulifia wapi, ilikuwa zamani kuna kikosi maalum ku identify creams kuanzia mashuleni na makazini, mwisho wa siku unajikuta upo state na hujui umeingiaje.. now days identification umefeli sana na kwenye position kuna viumbe vya ajabu sana kuhold ofisi za Umma.
Ukimuangalia chalamila, unajiuliza alifikaje hadi level za mkuu wa mkoa, yaani mtu kiazi na karai ndio anakua head of region kweli?
Critically anakuaje mkuu wa mkoa kama Dar , thinking capacity as a leader ipo chini, natamani sana apigwe audit ya vyeti vyake, jamaa hana uwezo. Hata Wafanyabiashara kugoma ni low capacity yake ya kushindwa ku comprehend mambo na kusuggest solution, alifikaje huko juu?
Mmmh
Nafasi za mkuu wa mkoa ziwekwe utumishi, watanzania wenye sifa wawekwe, nchi inaongozwa na makarai snaa
Una chuki binafsi na Chalamila.Huyu jamaa natamani kujua education background yake, nahisi kama hata darasa la 7 hajamaliza.

Wewe uko Somalia?Kama UDSM inatoa product kama hizo, basi Tanzania hakuna elimu, ni mchongo mchongo. Jamaa ni hana akili sijui kama unaelewa
Huyu jamaa natamani kujua education background yake, nahisi kama hata darasa la 7 hajamaliza.
Alifikaje kuwa mkuu wa mkoa ?
Alifikaje ?
Unajua zaman mifumo ulikuwa loosely watu wamefoji sana vyeti na safisha ya JPM haikula hata 30% ya waliofoji.
Huyu jamaa hana uwezo wa kuanalyze matatizo ya mkoa wake critically na kutoa solution kama mkuu wa mkoa na msomi, huwa ishu za msingi ndani ya mkoa wake anazisolve kicomedy na maneno Fulan hivi ya standard 7 failures.
Alifikaje kuwa mkuu wa mkoa? Yaani CCM dah
Zamani CCM ilikuwa na watu makini sana, sijui ule mfumo wa selection creams ulifia wapi, ilikuwa zamani kuna kikosi maalum ku identify creams kuanzia mashuleni na makazini, mwisho wa siku unajikuta upo state na hujui umeingiaje.. now days identification umefeli sana na kwenye position kuna viumbe vya ajabu sana kuhold ofisi za Umma.
Ukimuangalia chalamila, unajiuliza alifikaje hadi level za mkuu wa mkoa, yaani mtu kiazi na karai ndio anakua head of region kweli?
Critically anakuaje mkuu wa mkoa kama Dar , thinking capacity as a leader ipo chini, natamani sana apigwe audit ya vyeti vyake, jamaa hana uwezo. Hata Wafanyabiashara kugoma ni low capacity yake ya kushindwa ku comprehend mambo na kusuggest solution, alifikaje huko juu?
Mmmh
Nafasi za mkuu wa mkoa ziwekwe utumishi, watanzania wenye sifa wawekwe, nchi inaongozwa na makarai sn
Kielimu ana digrii 2 na anasaka PhD, hii ni elimu ya kitanzania usishangae. Kuhusu uwezo wake wala usishangae, ndivyo CCM walivyo. Wanaamini katika matumizi ya nguvu akili kidogo. Umemsikia Petro Magoti DC Kisarawe mbali elimu yake na kufanya kazi Muda mrefu Ikulu lakini Jana kaamuru OCD akamate magari yatakayopiga muziki na wanafunzi wakawepo, ayapeleke kituoni kisha atoboe Matajiri na vyombo vya muziki vitaifishwe na Polisi.Uchawa ndio umemfikisha hapo.
Sio nafasi ya Ukuu wa Mkoa tu...hata ya DC, Diwani na Wabunge wanapaswa wawe wasomi wenye elimu isiyo na shaka na uzoefu sio kuteuliwa tu kwasbb ni MwanaCCM
Sipo hukuSipo huko JEHANAM
Kielimu ana digrii 2 na anasaka PhD, hii ni elimu ya kitanzania usishangae. Kuhusu uwezo wake wala usishangae, ndivyo CCM walivyo. Wanaamini katika matumizi ya nguvu akili kidogo. Umemsikia Petro Magoti DC Kisarawe mbali elimu yake na kufanya kazi Muda mrefu Ikulu lakini Jana kaamuru OCD akamate magari yatakayopiga muziki na wanafunzi wakawepo, ayapeleke kituoni kisha atoboe Matajiri na vyombo vya muziki vitaifishwe na Polisi.A
Anasaka PHD , I am dead ; I am pretty sure anafanyiwa. Mtu kiazi kama huyu hata darasa la saba najiuliza alimaliza vipiKielimu ana digrii 2 na anasaka PhD, hii ni elimu ya kitanzania usishangae. Kuhusu uwezo wake wala usishangae, ndivyo CCM walivyo. Wanaamini katika matumizi ya nguvu akili kidogo. Umemsikia Petro Magoti DC Kisarawe mbali elimu yake na kufanya kazi Muda mrefu Ikulu lakini Jana kaamuru OCD akamate magari yatakayopiga muziki na wanafunzi wakawepo, ayapeleke kituoni kisha atoboe Matajiri na vyombo vya muziki vitaifishwe na Polisi.