Nina wasiwasi na uwezo na elimu ya Chalamila, alikuwaje mkuu wa mkoa ?

Uchawa ndio umemfikisha hapo.

Sio nafasi ya Ukuu wa Mkoa tu...hata ya DC, Diwani na Wabunge wanapaswa wawe wasomi wenye elimu isiyo na shaka na uzoefu sio kuteuliwa tu kwasbb ni MwanaCCM
 
Uchawa ndio umemfikisha hapo.

Sio nafasi ya Ukuu wa Mkoa tu...hata ya DC, Diwani na Wabunge wanapaswa wawe wasomi wenye elimu isiyo na shaka na uzoefu sio kuteuliwa tu kwasbb ni MwanaCCM
chalamila ana level ya elimu ya Masters. alishafundisha chuo kikuu iringa, alishakuwa na cheo ccm mkoa wa iringa, ana akili zote, ila ameamua tu aina ya siasa yake iwe ya kujichetua akili na wanafanya hivyo strategically, msijefikiri hajui anachofanya.
 
Kibaraka wa ccm... harafu ni rafiki wa Mzee wa msoga...huyu jamaa alikuwa mwalimu wangu pale TABATA wazazi...!

Kwa kusoma inawezekana amesoma kweli ila kichwani tu ndio kumeoza...na sidhani kama anatumia kilevi ChochoteπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚​
Mkuu ndio maana jamaa huwa nahisi kama namjua kumbe alifundisha tabata wazazi.. ooh kumbe..
Mimi nilikuwa naishi pembeni ya shule pale
 
Elimu anayo ya kutosha kama huioni ni mtazamo wako, huwezi kumfananisha na wabunge kama Msukuma au Babu Tale. Kushindwa kutatua matatizo ya wafanyabiashara wkt waziri husika yupo hakumfutii RC elimu yake, wapo maprofesa walishindwa kutatua matatizo wizara zao.
 
Nilipoona eti zamani CCM ilikuwa makini sana na walikuwa na selection cream (??) nikaacha kusoma
 
Ukiifahamu siasa ya karikooo CHALAMILA UTAMUINA ANA AKILI SANA.

Usimdharau kiasi hicho sometimes inahitaji watu WA akili yake kudeal na mrengo WA watu WA aina Fulani.

Karikoo kumejaa siasa za kuchafuana, chuki, wivu wa madaraka, tamaa ya Mali NA madaraka, rushwa (siongelei TRA)...

Ivi TRA analalamikiwa KOSA LAKE NINI???

TRA hatungi Sheria na kama sheria zinatoa mianya ya rushwa kwake unamlaumu Nini kutumia udhaifu WA wabunge mlowachagua na wakatunga Sheria zenye matobo??

Hizi Sheria zinetungwa kariakoo ipo zinapita wafanyabiashara wapo Leo mnagoma alafu lawama Kwa TRA... RUBISH

Intel ifanye KAZI yake vizuri hapa huu mchezo WA wapuuzi wachache kuijaribu serikali Kwa kuwatumia wachuuzi ufike mwisho.
 
Hiyo kazi haiitaji Mtu Smart, ukiwa Chawa tu inatosha.

Kila ukiongea we sema MAMA! MAMA! halafu unaanza kukata viuno.
Kudadeki hii INCHI ukiweza kuwa mpiga PAMBIO hodari unakula TEUZI
unaweza ukalala ukaamka
ukasikia MWIJAKU Kawa mkuu wa mkoa wa DSM
 
Uchawa ndio umemfikisha hapo.

Sio nafasi ya Ukuu wa Mkoa tu...hata ya DC, Diwani na Wabunge wanapaswa wawe wasomi wenye elimu isiyo na shaka na uzoefu sio kuteuliwa tu kwasbb ni MwanaCCM
Licha ya kuwa wasomi wapitie mchujo kupata cream kama south korea. In order uweze ku qualify kuwa public servants lazima upitie series of test.
For the record tz ni nchi pekee africa ambayo viongoz ni class 7 karne hii ya 21
 
Inasikitisha sana . Sijui itachukua miaka mingap kuja kuwa na Tanzania yenye viongozi wenye akili
 
Uchawa ndio umemfikisha hapo.

Sio nafasi ya Ukuu wa Mkoa tu...hata ya DC, Diwani na Wabunge wanapaswa wawe wasomi wenye elimu isiyo na shaka na uzoefu sio kuteuliwa tu kwasbb ni MwanaCCM
Nakubaliana na wewe. Na huu mfumo wa kuteua unaliangamizaa Taifa mana wengi wanaoteuliwa ni huwa kama wanapewa zawadi na sio Accountability
 
Licha ya kuwa wasomi wapitie mchujo kupata cream kama south korea. In order uweze ku qualify kuwa public servants lazima upitie series of test.
For the record tz ni nchi pekee africa ambayo viongoz ni class 7 karne hii ya 21
Nakubaliana na wewe. Unajua tukiwa na mchujo baada ya kuwa qualified kwenye elimu hata nchi itabadilika na tutaheshimiana. Kwa sasa part kubwa ya TZ inaongozwa na wahinga
 
Mkuu ndio maana jamaa huwa nahisi kama namjua kumbe alifundisha tabata wazazi.. ooh kumbe..
Mimi nilikuwa naishi pembeni ya shule pale
Mwamba alikuwa mwalimu pale Tena headmaster πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mwaka 2009 huko...!​
 
Chama cha wauza kuku Tanzania kimeunga mkono mgomo.
 
CCM UKITAKA KUPEWA MADARAKA KUWA MJINGA,CHIZI,MSUKUMA MBUNGE NA MPUMBAVU
 
. Hata Wafanyabiashara kugoma ni low capacity yake ya kushindwa ku comprehend mambo na kusuggest solution, alifikaje huko juu?
Mmmh

Sababu za mgomo ni za utawala ama sera za kodi? Wewe jamaa kumbe nawe mkurupukaji tu. Chalamila angetoa majibu yapi kwa mambo ambayo ni ya sera ya kodi zaidi ya kupiga siasa
 
Mnapenda sana kubembelezwa.

Chalamila ana akili kuliko ukoo wenu wote,ni mwl.wa Chuo Kikuu sio kilaza kama wewe.

Shukiruni Samia anawatetea Kwa huu wizi πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/C8m0llftpj_/?igsh=cHlrN3U3YW15M2k0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…