Nina wasiwasi na uwezo na elimu ya Chalamila, alikuwaje mkuu wa mkoa ?

Kwa taarifa yako, RC Chalamila alikuwa LECTURER kabla ya kuingia kwenye Siasa. Sijui wewe ni nani hapo ulipo!
 
Tukiwa wakweli sana
Jamaa hafai hata kuwa baliz wa kitongoji
 
Kibaraka wa ccm... harafu ni rafiki wa Mzee wa msoga...huyu jamaa alikuwa mwalimu wangu pale TABATA wazazi...!

Kwa kusoma inawezekana amesoma kweli ila kichwani tu ndio kumeoza...na sidhani kama anatumia kilevi Chochote😂😂😂​
Kwa ukumsikiaga alipokuwa RC wa Mbeya alpohamasisha watu wanywe bia
 
Mteuzi wake yeye haangalii elimu yeye ujue kusoma na kuandika tu anakupa kazi...kuanzia 2015 awamu ya meko aliokota vilaza 90% kwenye serikali yake na ndio huyu chura nae anatembelea mulemule
 
Watu wa bonde la mto msimbazi walipewa viwanja,saruji mwaka 2012,wakauza,wakarudi hapo bondeni, unataka serikali ifanye nini!?
 
watu wamefoji sana vyeti
Jamaa yupo vizuri kichwani, Masters yake alichukua UDSM na anafanya PHD. Huzijui siasa za Kariakoo, kudili na wahuni wa Kariakoo haiitaji shule zaidi ya kuwa chizi zaidi yao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…