Nina wasiwasi na uwezo na elimu ya Chalamila, alikuwaje mkuu wa mkoa ?

Shida mfumo! Mkuu wa mkoa tuchague kwa kupiga kura.
 
Kama UDSM inatoa product kama hizo, basi Tanzania hakuna elimu, ni mchongo mchongo. Jamaa ni hana akili sijui kama unaelewa, Mbowe ana madhaifu yake but sio mjinga kama huyo jamaa. Mbowe akisimama unajua mtu msomi anaongea, sio huyo uharo
 
Usimchukulie poa Elimu ya darasani anayo, ya Uongozi sina hakika...

Ana shahada 2 za Uzamili; kabla ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa alikuwa Mhadhiri Chuo Kikuu cha Iringa.
 
Una chuki binafsi na Chalamila.
Zamani zipi hizo CCM mlikuwa na watu makini? Inakuwa ni 1/10,000,000.

Hao wakufoji ni wa nyakati zipi kama siyo zamani yako.

Acha chuki binafsi.
Ukitaka kumsema mteule yeyote wa rais anza na rais mwenyewe. Ikiwa rais anamuamini, nyie wengine wote tunaona mna chuki zenu binafsi.
 
Uwezo wa ubongo wako ndio Tatizo!!

Unafikiri chalamila yupo hapo kwa Bahati mbaya!!?

Hiyo ndio kaz yake!

Propaganda na spinning kwa manufaa ya kitengo!!
 
Qualification yake nyingine najua alishawahi kuwa kocha wa timu ya vijana Msasani, Dar Es Salaam... Inasemekana ni mwehu mwehu hivyohivyo na mropokaji.
 

Uchawa ndio umemfikisha hapo.

Sio nafasi ya Ukuu wa Mkoa tu...hata ya DC, Diwani na Wabunge wanapaswa wawe wasomi wenye elimu isiyo na shaka na uzoefu sio kuteuliwa tu kwasbb ni MwanaCCM
Kielimu ana digrii 2 na anasaka PhD, hii ni elimu ya kitanzania usishangae. Kuhusu uwezo wake wala usishangae, ndivyo CCM walivyo. Wanaamini katika matumizi ya nguvu akili kidogo. Umemsikia Petro Magoti DC Kisarawe mbali elimu yake na kufanya kazi Muda mrefu Ikulu lakini Jana kaamuru OCD akamate magari yatakayopiga muziki na wanafunzi wakawepo, ayapeleke kituoni kisha atoboe Matajiri na vyombo vya muziki vitaifishwe na Polisi.
 
Sipo huko JEHANAM
Sipo huku

Anasaka PHD , I am dead ; I am pretty sure anafanyiwa. Mtu kiazi kama huyu hata darasa la saba najiuliza alimaliza vipi

Leo asome PHD

ANAFANYIWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…