Kwahyo hao wachezaji wote ambao Simba imewasajili hawana experience ya kucheza michezo ya CAF si ndio? Kwahyo timu walizotoka hawajawahi kushiriki...mbona hueweki unataka nini...mna hicho kikosi sasa hivi.
experience players ni hussein, baba ester, kibu na mzalimu, wengine wote ni 1 season experience tena with a better squad. not this mid table team simba has now.
PoleNa ww usitutishe na chambuzi zako za kingreza...
Pambana na timu yako huko...
Kuna timu Simba inaigopa? Kuna timu ina financial mascles kuliko Alhly? Mbona huwa inachapwa..
Hiyo nayo ni aibu? Au ndio maana huwa hamtaki kuongoza kundi kwa makusudi ili msione aibu mkitolewa mwakarobo?Hivi hua hamuoni aibu kua kwa msimu huo nyie ndio timu pekee iliyo ongoza kundi na ikaishia robo fainali?
Mbumbumbu za asubuhYani
Kwani nyie mlikua mnaona aibu kutokuingia club bingwa kwa miaka 25?.tutoleee upupu hapa..yani mtu uliekuwa una manga manga kuingia club bingwa kwa miaka zaidi ya kenda leo unashangaa mtu aliekua anaishia robo fainali mfululizo...Kweli wenye akili ni 2...
Sasa inafaida gani kuongoza kundi then unaishia pale pale pa siku zoteHiyo nayo ni aibu? Au ndio maana huwa hamtaki kuongoza kundi kwa makusudi ili msione aibu mkitolewa mwakarobo?
Faida ni kupata tiketi ya kucheza AFRICAN FOOTBALL LEAGUE ambapo hela ya maandalizi tu ilikuwa sh. 5.9BSasa inafaida gani kuongoza kundi then unaishia pale pale pa siku zote
Kweli mbumbumbu ni mbumbumbuFaida ni kupata tiketi ya kucheza AFRICAN FOOTBALL LEAGUE ambapo hela ya maandalizi tu ilikuwa sh. 5.9B
Bila kuishia robo fainali mfululizo tungekuwa kama utopolo
Haujambo kilaza...umeamka poa?.Mbumbumbu za asubuh
Pole kwa kupambania timu mbovuHaujambo kilaza...umeamka poa?.
Ubovu uko kwako....na akili yako...Pole kwa kupambania timu mbovu
Soon mta anza kelele kwa mzee wenu MangunguUbovu uko kwako....na akili yako...
1 Mousa Camara 4 CAFCL qfl, 1 Smfl.mna hicho kikosi sasa hivi.
experience players ni hussein, baba ester, kibu na mzalimu, wengine wote ni 1 season experience tena with a better squad. not this mid table team simba has now.
Thiiimbaaaa 5imba Guvu Moya.Subili muda utaongea kijana, kwani hao ni zaidi ya mbabe wa misri? Usiogope kijana, tutavuka.
cafcc players are what it's1 Mousa Camara 4 CAFCL qfl, 1 Smfl.
2. Che Malone Fondoh 2 CFCL apps, 1 Qfl, 4 CHAN apps.
3. Mohamed Hussein, Manula, Ally Katoro, Kapombe,Mzamiru, 4 CAFCL qfl
1CAFCC Qfl
4. Ngoma 8 CAFCL qfl 1CAFCC trophy.
5. Okejepha 2 CAFCC Qfl.
6. Nouma AFCON, CAFCC
use Google translateUnakuwaga na vichwa vya habari vizuri Ila ukishaanza kingereza basi uwa nasonya nafunga uzi nafuata mwingine .
Kayumba ni shule wanetu waende jamani
Eti bado ananikopi kwa kingereza lengo nichapie mcheke ? Hunipati ng'o ,na Simba makundi tutapitause Google translate