nina watoto 30 wote mama tofauti

Huyu ni member wa 7 nafananishwa naye

Mlianza na Yeezus,mkaja na Chidy boy mkaja na vigagula wengine leo mmemalizia na huyu aisee

Nyie watu wa ajabu sana ila si shangai kwa sababu hata nyani ngabu mlisema yeye ndiye dinazadi
Hahaaaa et nyani ni Dinazarde duuu ila mkuu Mbona ukipewa ban ndio Yeezus anaoneka kuja kukutetea
 
Hao watoto wa 1999 uliwapata ukiwa na miaka 11?
 
Unalipa ada za watoto 30?
au ku type na bando la chuo ndo unazua chochote?
Dah...Chief... Mdau ana watoto 30...sijaona mahala kaandika kama wanasoma shule[emoji12] [emoji12]
 
Hapo kuna watoto hawana baba.unalea b
Vipi watoto kwa pesa hii.
 
Acha story za kitoto wewe; Haiwezekani useme ulikuwa dereva wa malori mwaka 1999 (miaka karibu 18 iliyopita) na sasa uwe na miaka 29. Maana yake ulikuwa dereva wa malori ukiwa na miaka 11 ndo ukapata watoto 10!
 
Anzisha jeshi la polisi uwe IGP wewe mwenyewe kwani wewe hutamani kuwa IGP?
 
Acha story za kitoto wewe; Haiwezekani useme ulikuwa dereva wa malori mwaka 1999 (miaka karibu 18 iliyopita) na sasa uwe na miaka 29. Maana yake ulikuwa dereva wa malori ukiwa na miaka 11 ndo ukapata watoto 10!
lori nlianza kuendesha nina miaka 8 nilijifunza nikiwa havard tatizo bongo mpo nyuma sana.nikabalehe nikiwa na miaka kumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…