Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa et nyani ni Dinazarde duuu ila mkuu Mbona ukipewa ban ndio Yeezus anaoneka kuja kukuteteaHuyu ni member wa 7 nafananishwa naye
Mlianza na Yeezus,mkaja na Chidy boy mkaja na vigagula wengine leo mmemalizia na huyu aisee
Nyie watu wa ajabu sana ila si shangai kwa sababu hata nyani ngabu mlisema yeye ndiye dinazadi
Dah...Chief... Mdau ana watoto 30...sijaona mahala kaandika kama wanasoma shule[emoji12] [emoji12]Unalipa ada za watoto 30?
au ku type na bando la chuo ndo unazua chochote?
wadau nishaurini nifanyaje mpaka sasa nina watoto 30 watano wapo nchi za nje na mama zao huko uk nlipoenda likizo,kumi nliwapata 1999 wakati nikiwa dereva wamalori.na hawa 15 walobaki watano wapo nigeria,watatu kenya,wawili uganda.na kumi wengine hapa jijini dar.mimi nina mika 29.tatizo nataka kuoa mwezi wa12 nashindwa jinsi ya kumwambia wife siri hii ambae tayari nishamvisha pete.nishaurin mana watt wanataka kuja kunitembelea arusha napokaa.
nimestaafu mkuuAnzisha jeshi la polisi uwe IGP wewe mwenyewe kwani wewe hutamani kuwa IGP?
lori nlianza kuendesha nina miaka 8 nilijifunza nikiwa havard tatizo bongo mpo nyuma sana.nikabalehe nikiwa na miaka kumiAcha story za kitoto wewe; Haiwezekani useme ulikuwa dereva wa malori mwaka 1999 (miaka karibu 18 iliyopita) na sasa uwe na miaka 29. Maana yake ulikuwa dereva wa malori ukiwa na miaka 11 ndo ukapata watoto 10!
sahv mahara 40 wanamimba mkuuOngeza watano tena ndio uoe
namiliki hisa za benki flan mkuuHapo kuna watoto hawana baba.unalea b
Vipi watoto kwa pesa hii.
wote wanasoma abroad international schoolsDah...Chief... Mdau ana watoto 30...sijaona mahala kaandika kama wanasoma shule[emoji12] [emoji12]
naam nilibarehe nikiwa na miaka kumi mkuuHao watoto wa 1999 uliwapata ukiwa na miaka 11?
Shukrani mkuuhr naskia tunaundugu wamawazo mkuu.... nafurahi kukufahamu mkuu
Achana naye huyo mkuumkuu mon nakuhakikishia mimi si hr unajua wakati flan vichwa vinafanana labda huyu hr tumetoka mtaa mmoja kule Compton