Nina wazo la Biashara ila sina mtaji

Nina wazo la Biashara ila sina mtaji

Nataka kuoa ila sina nguvu za kiume hee sa si utafte kwanza nguvu za kiume ndo uowe lasivyo utaolea wengne

Unamawazo ya biashara ila huna mtaji
Tafta mtaji kwanza tofauti na apo utatoa mawazo yako kwa mwenye pesa atayachukua af hautafaidika na chochote utakosa vyote sasa
 
Kuwa na wazo tu bila mtaji, ni sawa na kuota ndoto tu za usiku.
 
Mil 50
Kaweke rehani mashamba yenu uone kama hilo wazo hutaliona takataka..

Duniani kuna mawazo mamilioni ila tatizo utekelezaji ni tofauti kabisa na mawazo... Kushawishi wateja sio kazi ndogo.
 
Do this;-

1) Market research of your idea, determine if your idea will solve the problem you think it will by just asking out intelligently
2) target audience which you intend to solve their problems
3) develop rough business model to project how you sell and make profit on that idea
4) build an MVP prototype
5) test the prototype on sample audience and collect user feedback (do not mass produce)
6) refine, test and improve MVP features based on user feedback
7) scale up production based on demands
8)seek funding (business plan, partner based on equity, investors, etc)
9) continue improving and widen your customer base


This is how a business idea can succeed.

Business is strategies.
 
Wakuu habarini za leo, natumai mko kamili gado.

Ninalo wazo kubwa la biashara ambalo likitekelezeka hakika litanipatia ukwasi wa kutupwa na nitakuwa moja ya matajiri vijana kwenye hii nchi.

Tatizo sina mtaji wa kutekeleza wazo lenyewe, nachokifanya kwa siku hizi chache nakwenda kulisajili kwa umakini mkubwa kisha natafuta wadau tulifanyie kazi naamini litatupatia mafanikio makubwa mno.
Acha ubinafsi toa wazo tulifanyie kazi na Mungu atakubariki
 
Back
Top Bottom