RoDrick RaY
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,189
- 1,690
Oesa, Msienendo ndio nini shule ulienda kuchezaMitaji mbona imejaa.
Anza kufanya urafiki na watu wenye oesa na wafanya biashara wakubwa, achana na msienendo yako ya sasa. Badilika.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka aiseeMkuu hapo ni sawa na kuwa na sight mirror ila gari huna.
Acha ubinafsi toa wazo tulifanyie kazi na Mungu atakubarikiWakuu habarini za leo, natumai mko kamili gado.
Ninalo wazo kubwa la biashara ambalo likitekelezeka hakika litanipatia ukwasi wa kutupwa na nitakuwa moja ya matajiri vijana kwenye hii nchi.
Tatizo sina mtaji wa kutekeleza wazo lenyewe, nachokifanya kwa siku hizi chache nakwenda kulisajili kwa umakini mkubwa kisha natafuta wadau tulifanyie kazi naamini litatupatia mafanikio makubwa mno.