dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
- Thread starter
- #121
Kaka una mtukana Nani mpuuzi wee jitu zima unadowlod app ya umbea ya mange alfu unashindwa kununua. Wazo la biashraa pumbafu Sana endeleeeni kuuza chips mtaaniMsng www
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka una mtukana Nani mpuuzi wee jitu zima unadowlod app ya umbea ya mange alfu unashindwa kununua. Wazo la biashraa pumbafu Sana endeleeeni kuuza chips mtaaniMsng www
Mbna nimesha pata watu wqatano wamesha tuma pesa cash na SAS wako kazni wnaapambnaUnatafuta laki 2 ya bure..sio kwa tanzania hii. Pole sana .
Endelea kuwa downlod app ya mange lkn wazo langu katu sinta litoa buree endeleeeni na biashra za chpis na zaga zingine ila hili langu sitoiAcha utapeli.
Kama wazo ni la maana na linatekelezeka, ungelitekeleza baada ya kulinunua.
Kwani wewe hutaki kuwa tajiri?
Lingekuwa la maana na una uhakika kuwa linalipa ungetafuta mtu mwenye mtaji mfanye partnership mgawane faida.
Umepigwa na wewe unataka uwapige.
Wajinga ndio waliwao.
Dah kweli watu wamevurugwa mkuu hilo sio wazo tena ni biashara si unauza
Sanaa tu mkuu ,wazo langu ukitulia unaqeza kufika mbali sna ukiwa smarter than mekwaio ni kupiga pesa za maana🤣
Ninyi wenye degree Ni wagumu San na bad enough hamuwezi kutake risk yote Hadi muandike makaratasi mengi mengi Sasa mtu darsa la nne anapesa ndefu akiwa na fom four s atakuwa billionaireHuyu kakutana juzi na tajiri wa pembejeo, akadhihaki watu humu, kwamba matajiri wengi hawajasoma sisi tuliosoma sijui brabra bra.. sasa si aafate form four failures awape hili😂😂😂
Hahahaha wamegoma kuja Ila wamekuja wachche sna na wamelipa na SAS wanapambna na Kaz kazMatajiri Wa jf njooni mnunue mawazo mnakwama wapi
Wee una akili sna watu humu wanatka niffujishe wazo langu bure bure alfu wakipa peesa hata Asante hakn nimeonelea nibaki nall tu Wala sinta toa hata hvyo Niko hatya za mwisho kuingia ubia. Na mchina tufanyejuhudi na kaz na mambo yatakuwa swaaWewe tafuta ndugu Yako mwenye Hela mfanye au tafuta mtu muungane kwenye biashara mfanye wewe mtaji wako wazo lako yeye atoe mtaji hisa nusu Kwa nusu
Tanzania Kuna wajanja wengi Ukipata wazo zuri la kuingiza Hela tafuta mtu umjuaye vizuri.mfanye partnership usipopata Baki nalo.Kuna watu matajiri huchukua mawazo ya watu hufanyia kazi hata kuwapa Asante hata ya mdomo tu hamna
Wewe tafuta ndugu Yako mwenye Hela mfanye au tafuta mtu muungane kwenye biashara mfanye wewe mtaji wako wazo lako yeye atoe mtaji hisa nusu Kwa nusu
Tanzania Kuna wajanja wengi Ukipata wazo zuri la kuingiza Hela tafuta mtu umjuaye vizuri.mfanye partnership usipopata Baki nalo.Kuna watu matajiri huchukua mawazo ya watu hufanyia kazi hata kuwapa Asante hata ya mdomo tu hamna
Acha unafiki mkuiVilio next
Wamekuja mkuuWalete walete mkuu....
Kampe wazo bilionaire yuleKaak
Ninyi wenye degree Ni wagumu San na bad enough hamuwezi kutake risk yote Hadi muandike makaratasi mengi mengi Sasa mtu darsa la nne anapesa ndefu akiwa na fom four s atakuwa billionaire
Naona kijana unataka kuleta mbinu za kitapeli mjini. Kwann wewe mwenye shida ya pesa usitumie hilo wazo kuwa tajiri.Wazo naliuza kwa laki 200 na utalipa kabla sijaongea chochote [emoji23]
Mm Nina Kaz zangu tayari ila nikipata Muda wa Ziada nitafanyaNaona kijana unataka kuleta mbinu za kitapeli mjini. Kwann wewe mwenye shida ya pesa usitumie hilo wazo kuwa tajiri.
Sasa wape wenzako hilo wazo, kama linathamani ya mamilioni nina uhakika wenye shukurani watakupatia zaidi ya hiyo unayosema unauza wazo.Mm Nina Kaz zangu tayari ila nikipata Muda wa Ziada nitafanya