Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,013
- 1,183
Hii project haitumii mashine wala haitumii nishati yoyote brother.hiyo mashine inauzwa approx. 18m sasa mtambo wa kuweka kwenye chupa unajitegemea
Hii project haitumii mashine wala haitumii nishati yoyote brother.
No electricity, no maintenance and cheap for every one.
Matilio ni;
1. Udongo mfinyazi
2. Plastics
3. Kitambaa laini na safi
Ila hapa patahitajika wataalamu wa kisayansi kujua "water quality" ya kila wilaya au mkoa husika
Maji magumu kuwa lain tafadhali SANA fafanua hapo
Watu wakiwa na utayari nitaweka hapa taarifa zote muhimu na kuambatanisha na picha.
Ila nitapenda liwe wazo la wengi na wengi wanufaike.
Mwenye uwezo atakuwa anachukua mawazo anayafanyia kazi.Kwanini usiandike proposam ukaenda nayo benki mkuu
Taarifa muhimu ndizo zitafanya watu waione fursa. nasubiria maelezo zaidi.Watu wakiwa na utayari nitaweka hapa taarifa zote muhimu na kuambatanisha na picha.
Ila nitapenda liwe wazo la wengi na wengi wanufaike.
yaaaaps ni kweli,Hyo ishu nimeiona ifakara...kila la heri
yaaaaps ni kweli,
halaf kumbe unaifaham ifakara best, nilikua kule last week, nimezunguka sana zile chocho j
haswaaaaa, pia tuna makazi kule maeneo ya kibaoni bomani palee.yeah ....mzee manengelo alipostaafu akachagua kuishi ifakara..ulienda kwenye mishe za mpunga nn?