Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,013
- 1,183
Nahitaji watu walio serious hapa jamii forum na nje. Tufanye mradi wa maji yaani kuchakata maji magumu kuwa laini.
Project Investment ni Tsh. 15,000,000 mpaka Tsh.30,000,000. (Sina uhakika kiasi)
Nitaomba mkiwa na moyo mzuri basi vijana wote kila mkoa wajiunge vikundi wafanye hii project.
Faida zake
1. Tutapunguza matumizi ya maji ya chupa mijini. (Huku tukipata soko la bidhaa)
2. Tutatunza mazingira (Vifaa vitakavyotumika vitakuwa vizuri vyenye kuendana na mazingira)
3. Vijana waliosomea sayansi na biashara watapata vipato na kujiajiri.
4. Mimi ninagawa wazo hili bure kwa waliotayari kulifanyia kazi hapa hapa jukwaani.
Naipenda Tanzania.