Nina wazo la biashara

Nina wazo la biashara

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,013
Reaction score
1,183
Nahitaji watu walio serious hapa jamii forum na nje. Tufanye mradi wa maji yaani kuchakata maji magumu kuwa laini.
Project Investment ni Tsh. 15,000,000 mpaka Tsh.30,000,000. (Sina uhakika kiasi)
Nitaomba mkiwa na moyo mzuri basi vijana wote kila mkoa wajiunge vikundi wafanye hii project.
Faida zake
1. Tutapunguza matumizi ya maji ya chupa mijini. (Huku tukipata soko la bidhaa)
2. Tutatunza mazingira (Vifaa vitakavyotumika vitakuwa vizuri vyenye kuendana na mazingira)
3. Vijana waliosomea sayansi na biashara watapata vipato na kujiajiri.
4. Mimi ninagawa wazo hili bure kwa waliotayari kulifanyia kazi hapa hapa jukwaani.

Naipenda Tanzania.
 
hiyo mashine inauzwa approx. 18m sasa mtambo wa kuweka kwenye chupa unajitegemea
Hii project haitumii mashine wala haitumii nishati yoyote brother.
No electricity, no maintenance and cheap for every one.
Matilio ni;
1. Udongo mfinyazi
2. Plastics
3. Kitambaa laini na safi

Ila hapa patahitajika wataalamu wa kisayansi kujua "water quality" ya kila wilaya au mkoa husika
 
Hyo ishu nimeiona ifakara...kila la heri
 
Watu wakiwa na utayari nitaweka hapa taarifa zote muhimu na kuambatanisha na picha.
Ila nitapenda liwe wazo la wengi na wengi wanufaike.
 
Watu wakiwa na utayari nitaweka hapa taarifa zote muhimu na kuambatanisha na picha.
Ila nitapenda liwe wazo la wengi na wengi wanufaike.

Mawazo ya kisayansi sayansi magumu km hya watz si fani yao..tegemea kutopata ..
 
Watu wakiwa na utayari nitaweka hapa taarifa zote muhimu na kuambatanisha na picha.
Ila nitapenda liwe wazo la wengi na wengi wanufaike.
Taarifa muhimu ndizo zitafanya watu waione fursa. nasubiria maelezo zaidi.
 
Pt.4
Hii ni muhimu sana ipitie utapata mwanga zaidi
 
Mahitaji sasa
1. Uwe na material ya plastic 2 aidha ndoo ndogo au chupa yaliyobuniwa yenye koki moja.
2. Uwe na udongo wa mfinyazi au mchanga wa kwenye mto, ziwa au bahari.
3. Uwe na unga wa mkaa
4. Uwe na kitambaa cheupe kwaajili ya kuchuja maji (filter). Mfano kitambaa cha pamba au bandeji

Jinsi ya uundaji
1. Tazama picha zote hususani Pt. 4 utajifunza zaidi.

Mtaji
Hapa sijui ni Tsh. ngapi ila ni ndogo sana.

Karibuni sana. Nawatakia kazi njema.
 
Back
Top Bottom