Wazo zuri sana na hiyo ni pesa tupu shida ipo kwenye upinzani utakaopata kutoka kwa matycoon wa sasa walioshikilia hiyo biasharaHabari za Mchana
Nina wazo la kuanzisha kiwanda cha kugandisha mabarafu pale soko la Feri
Naitaji muongozo na ushauri Kwa mtu yoyote ambae aliwahi kufanya au ana uzoefu kidogo na biashara hii
Na pia napenda kupata ushauri au mawazo ya jinsi ya kurent sehemu ya soko na kuweka kampuni yangu hapo
Hapa nalenga kujua ishu ya vibali na utaratibu wote wa kufata
Ahsante Sana

Bongo shida sana...!Wazo zuri sana na hiyo ni pesa tupu shida ipo kwenye upinzani utakaopata kutoka kwa matycoon wa sasa walioshikilia hiyo biashara
MkuuKwani hakuna hiyo bizness pale?
barafu zipo pale ila demand na supply ni tofauti kwani uhitaji ni mkubwa kuliko upatikanaji na sio feri tt wewe ukienda maeneo yote yenye uhitaji wa barafu mfano pale mbagala,kariakoo,buguruni,gmboto,tandika kuanzia pale tmk hospital kuja sudan,majaribio,sokoni hadi Devis corner uhitaji ni mkubwa.Kwani hakuna hiyo bizness pale?
Habari za Mchana
Nina wazo la kuanzisha kiwanda cha kugandisha mabarafu pale soko la Feri
Naitaji muongozo na ushauri Kwa mtu yoyote ambae aliwahi kufanya au ana uzoefu kidogo na biashara hii
Na pia napenda kupata ushauri au mawazo ya jinsi ya kurent sehemu ya soko na kuweka kampuni yangu hapo
Hapa nalenga kujua ishu ya vibali na utaratibu wote wa kufata
Ahsante Sana
Hapo ferry bei ya barafu ikoje bro.....barafu zipo pale ila demand na supply ni tofauti kwani uhitaji ni mkubwa kuliko upatikanaji na sio feri tt wewe ukienda maeneo yote yenye uhitaji wa barafu mfano pale mbagala,kariakoo,buguruni,gmboto,tandika kuanzia pale tmk hospital kuja sudan,majaribio,sokoni hadi Devis corner uhitaji ni mkubwa.
Pale feri barafu kama unafanikiwa kupata mashine ya kuweza kutengeneza barafu zile kubwa unaweza kuuza @6,000 na zile ngalawa za uvuvi zenye kutumia mashine wanachukua matofali ya barafu kuanzia 70-100 ambapo wanapoenda baharini wanakaa uko kuvua hadi wiki ndio warejee,sasa piga hayo matofali mara hyo bei,ni biashara nzuri sana ila kwenye mzunguko popote lazima ujipange
Mimi kwa ushauri wangu usiende kuweka mashine pale feri ila tafuta eneo upande wa kigamboni hata maeneo ya kutokea daraja la Nyerere tafuta eneo uwe unazalisha bidhaa zako uko na unakwenda pale kwa kuanzia tafuta japo wateja wako watatu wa ngalawa na wawili wakuuza vipande vipande kwa wanunuzi wadogo wadogo
Habari za Mchana
Nina wazo la kuanzisha kiwanda cha kugandisha mabarafu pale soko la Feri
Naitaji muongozo na ushauri Kwa mtu yoyote ambae aliwahi kufanya au ana uzoefu kidogo na biashara hii
sijajua umejipangaje na msingi wako ni kiasi gani ila kama umejitosheleza agiza zile mashine heavy duty ambazo barafu zake zinakuwa ngumu sana na wavuvi wanaokwenda bahari kuu uwa wanapenda hzo kwani hata wakikaa uko siku 10+ wanakuwa hawana shaka na samaki kuharibika.
Ila kama una msingi mdogo nakushauri nunua hz mashine za kutengeneza kienyeji ambazo wewe unaweza kuzalishia hata kwako na uwaka unaenda pale na barafu zako za bukubuku ukiwa nazo 100 hapo unakunja laki,toa pesa ya kukodisha lile toyo kutegemea na unapotoka,tenga 10,000 umeme hapo hamna hamna 50,000 unalaza huku ukiwa ushatatua mambo madogo madogo tena unaenda feri hapo ndio ile methali ya mgaagaa na upwa hali wali mkavu inatake place!
mimi sipo feri ila kuna kipindi nilitaka kufanya hii kitu tena nilikuwa na mshkaji anasimamia boti za uvuvi za kaka yakeHapo ferry bei ya barafu ikoje bro.....
wakati ule walikuwa wananunua kwa 6,000 kila moja na hizo barafu ni zile zinakuwa kubwa na ngumu sana kwani zinagandishwa na mashine zile za umeme mkubwaHapo ferry bei ya barafu ikoje bro.....
Habari za Mchana
Nina wazo la kuanzisha kiwanda cha kugandisha mabarafu pale soko la Feri
Naitaji muongozo na ushauri Kwa mtu yoyote ambae aliwahi kufanya au ana uzoefu kidogo na biashara hii
Na pia napenda kupata ushauri au mawazo ya jinsi ya kurent sehemu ya soko na kuweka kampuni yangu hapo
Hapa nalenga kujua ishu ya vibali na utaratibu wote wa kufata
Ahsante Sana
Hapo ferry bei ya barafu ikoje bro.....
kuna video nimetuma ambapo kama una pesa yako ya ndani ya milioni 3 ni bora ukatengeneza mashine kama hyo ambapo barafu za ukubwa huo unauza buku buku na haina ulazima wa kwenda feri kikubwa ni ubunifu na kukaza buti kama utaenda maeneo niliyoyaorodhesha ktk post zilizopita na ukawa na toyo lako au lakukodi hzo barafu pisi 100 unapiga fasta ni ukifika saa 1 asubuhi hadi saa 3 asubuhi unarudi unapiga miruzi tuHapo ferry bei ya barafu ikoje bro.....
Hiyo mashine nnayo, ila ni ndogo yake inagandisha zile barafu size ndogo za kupoza vinywaji..... Na mara moja inatoa barafu 100kuna video nimetuma ambapo kama una pesa yako ya ndani ya milioni 3 ni bora ukatengeneza mashine kama hyo ambapo barafu za ukubwa huo unauza buku buku na haina ulazima wa kwenda feri kikubwa ni ubunifu na kukaza buti kama utaenda maeneo niliyoyaorodhesha ktk post zilizopita na ukawa na toyo lako au lakukodi hzo barafu pisi 100 unapiga fasta ni ukifika saa 1 asubuhi hadi saa 3 asubuhi unarudi unapiga miruzi tu