Nina wazo la kufungua kiwanda cha kugandisha barafu feri

Nina wazo la kufungua kiwanda cha kugandisha barafu feri

Hiyo mashine nnayo, ila ni ndogo yake inagandisha zile barafu size ndogo za kupoza vinywaji..... Na mara moja inatoa barafu 100

Hiyo umetuma ni XL
Habari Evelyn Salt

Ningependa kujua zaidi kuhusu mashine za kugandisha barafu i.e bei,uwezo wa kuzalisha barafu, matumizi ya umeme na upatikanaji wake.
 
Back
Top Bottom