Nina wazo la kufungua kiwanda cha kugandisha barafu feri

Hiyo mashine nnayo, ila ni ndogo yake inagandisha zile barafu size ndogo za kupoza vinywaji..... Na mara moja inatoa barafu 100

Hiyo umetuma ni XL
wewe una ile ya chenga chenga?
 
Attachments

  • IMG-20240807-WA0001.jpg
    IMG-20240807-WA0001.jpg
    34.6 KB · Views: 16
Hapana ni kama hiyo ulotuma ila tu yangu haina hizo vyumba vyumba.....

Ni vyumba viwili naweka zile barafu za mifuko sio hayo makubwa wala sio vipande, zile barafu za 150-200
ok,mi hzo barafu za 150-200 naona pasua kichwa kwani ni bora uweke ice cream za kutengeneza kilocal ukaweka flavor tofauti tofauti kama uko eneo lenye mapito ya watoto wa shule ya msingi utaokota hela kuliko hzo barafu kwanza ukubwa wake ni zaidi ya ice cqeam 6=600
 
mimi nina friza dogo la lita 300 ila nagandisha vidumu vya lita 5 nimevikata juu nauza barafu jero jero na naweka barafu 24 hapo kila cku uhakika wa 12,000
 
Habari za Mchana

Nina wazo la kuanzisha kiwanda cha kugandisha mabarafu pale soko la Feri

Naitaji muongozo na ushauri Kwa mtu yoyote ambae aliwahi kufanya au ana uzoefu kidogo na biashara hii

Na pia napenda kupata ushauri au mawazo ya jinsi ya kurent sehemu ya soko na kuweka kampuni yangu hapo

Hapa nalenga kujua ishu ya vibali na utaratibu wote wa kufata

Ahsante Sana
soko lipo sema hizo fitna za lile soko utaziweza?

kuna wajinga wengi na watu wenye roho mbaya wanaongeza na siasa za maji taka basi inakuwa tafrani tupu
 
Boss nipe hint kidogo
 
soko lipo sema hizo fitna za lile soko utaziweza?

kuna wajinga wengi na watu wenye roho mbaya wanaongeza na siasa za maji taka basi inakuwa tafrani tupu
pale unatakiwa utengenezee uko mbali pale unapeleka tena unawashika wale malegendari japo wawili unawatengea posho yao japo 30,000@ kwa mwezi,yaani unasacrifice mauzo ya siku moja wanakupa back up na kabla ya kufanya nenda japo wiki nzima as survey naamini utapata picha kubwa na kujua namna gani uingie
 
Niko hapa now, nacheck mazingira

Naona kuna fitna nyingi sana haha
 
Ukihitaji mashine hizo tunazo tupo magomeni mikumi bei kuanzia mil 1.5 -mil 5
 
Sijui nakosea wapi. Kwangu naona kuganda hadi siku 2
Nadhani changamoto yako ni kuweka mzigo mkubwa na inapelekea kuchelewa kugandisha,weka japo mstari wa chini na kati na juu usiweke ili kulipa friza nafasi ya hewa kuzunguka ndani vizuri,friza kuwa limetumika muda mrefu (used) Friza kama limetumika muda mrefu uwa linapoteza nguvu,friza kuwa sehemu ambayo umeliweka karibu na ukuta na kufanya mzunguko wa hewa kutokupita vizuri kwa nyuma ya friza (chunguza wakati wa mvua na wakati wa jua nyakati gani barafu zinaganda haraka) eneo lenye joto linachelewesha barafu kuganda.
Kati ya hayo niliyoyaweka hapo juu kuna linalopelekea barafu zako zisigande vizuri
 
Kati ya hayo niliyoyaweka hapo juu kuna linalopelekea barafu zako zis

Nadhani changamoto yako ni kuweka mzigo mkubwa na inapelekea kuchelewa kugandisha,weka japo mstari wa chini na kati na juu usiweke ili kulipa friza nafasi ya hewa kuzunguka ndani vizuri,friza kuwa limetumika muda mrefu (used) Friza kama limetumika muda mrefu uwa linapoteza nguvu,friza kuwa sehemu ambayo umeliweka karibu na ukuta na kufanya mzunguko wa hewa kutokupita vizuri kwa nyuma ya friza (chunguza wakati wa mvua na wakati wa jua nyakati gani barafu zinaganda haraka) eneo lenye joto linachelewesha barafu kuganda.
Kati ya hayo niliyoyaweka hapo juu kuna linalopelekea barafu zako zisigande vizuri
Nashukuru umenifumbua macho, huwa najaza mistari 3 kwenda juu na pia lipo ukutani kabisa
 
Back
Top Bottom