Huko atapigwa tu.Siku hizi ni ngumu kuuza idea mkuu, we fanya kutengeneza Demo, peleka kipindi clouds au wasafi muingie maubaliano kuwa kikiruka kikapata wadhamini mtagawana mapato au utakuwa ukilipia airtime. Kama idea wengi wanazo ni ngumu sana kubadilisha idea kuwa kitu halisi, tengeneza demo kwanza. Unaweza kuimagine kitu flani lakini kukiweka wenye uhalisia ukashindwa, na hakuna kitu kigumu kama kutengeneza muendelezo wa vipindi bora vya TV.
Unajua mkuu kwa hali ilivyo ni afadhali utake a risk, kwasasa hakuna mtu anaweza kununua wazo. Inabidi utengeneze demo na kama demo ya kipindi ni nzuri mtu akashawishika, kwa competetion iliyopo kwenye TV sasa kila mtu anataka watazamaji, sidhani kama mtu anaweza kukupiga. Unajua vipindi vya TV na movie ni kama studio na producer. Ninaweza kukupa wazo langu lakini usilifanye kama mimi.Huko atapigwa tu.
Bora afe na idea yake.
Hap jamaa ni MAHARAMIA WALIOKUBUHU.
Mkuu issue siyo kutake Risk. A wiseman takes calculated risks.Unajua mkuu kwa hali ilivyo ni afadhali utake a risk, kwasasa hakuna mtu anaweza kununua wazo. Inabidi utengeneze demo na kama demo ya kipindi ni nzuri mtu akashawishika, kwa competetion iliyopo kwenye TV sasa kila mtu anataka watazamaji, sidhani kama mtu anaweza kukupiga. Unajua vipindi vya TV na movie ni kama studio na producer. Ninaweza kukupa wazo langu lakini usilifanye kama mimi. Na unaweza kuwa na wazo lakini usilifanye kama ulivyokuwa unaliimagine.
Mfano kile kipindi cha Qwisa cha ndani ya kiza, kile anachoonyesha ni chini ya kiwango ya alichokuqa ana imagine. Ninadhani alitaka kutengeneza kitu kama cha channel za crime and investigation, yani mtu anahadithia halafu yanaonyeshwa matukio mpaka mtazamaji anahisi labda ni uhalisia. Lakini ndo hivyo budget, na utaalam kikaishia kuwa vile.
Mkuu siku hizi hapa tz hakuna mtu unaweza kumuuzia mawazo. Ngoja nikwambie wazo ambalo tulikuwa nalo toka mwaka 2010 ni hili la mpesa na Airtel Master card, tulipambana nalo mpaka tigo na voda lakini majibu ni kwamba hawanunui mawazo, tutengeneze demu ya wazo. Mwisho tukaachana nayo kwanza ndo tulikuwa tuko chuo hata pesa hatuna.Mkuu issue siyo kutake Risk. A wiseman takes calculated risks.
Unajua mkuu kwa hali ilivyo ni afadhali utake a risk, kwasasa hakuna mtu anaweza kununua wazo. Inabidi utengeneze demo na kama demo ya kipindi ni nzuri mtu akashawishika, kwa competetion iliyopo kwenye TV sasa kila mtu anataka watazamaji, sidhani kama mtu anaweza kukupiga. Unajua vipindi vya TV na movie ni kama studio na producer. Ninaweza kukupa wazo langu lakini usilifanye kama mimi. Na unaweza kuwa na wazo lakini usilifanye kama ulivyokuwa unaliimagine.
Mfano kile kipindi cha Qwisa cha ndani ya kiza, kile anachoonyesha ni chini ya kiwango ya alichokuqa ana imagine. Ninadhani alitaka kutengeneza kitu kama cha channel za crime and investigation, yani mtu anahadithia halafu yanaonyeshwa matukio mpaka mtazamaji anahisi labda ni uhalisia. Lakini ndo hivyo budget, na utaalam kikaishia kuwa vile.
Hata hajacopy kutoka kwao, maana na hao wa kenya wamecopy kutoka vipindi vya nje sasa sijui na hao wa nje walicopy kutoka wapiKipindi cha Kwisa ni copy and pasting ya vipindi foani vya Kenya ambavyo wao huonesha Historia za Maisha ya watu maarufu
Back to Mada, Idea nzuriiii wala sio issue naamini hata wengi wanazo ila tatizo ni kuangalia watu gani wanaweza kuwa sponsors wa vipindi.
Hata uwe na kipindi kizuri vipi na kiki kiasi gani kama hakiwezi vutia sponsors kuweka pesa yao ni kazi bure
Media zinahitaji content lakini kwa kipindi hiki kigumu pia zipo desperate kupata pesa. Ukiwa na wazo zuri na kuweza kupull sponsors unaweza kununua airtime mwenyewe ila ukiwategemea bila hii kitu. Utaona unakaziwa
Hata hajacopy kutoka kwao, maana na hao wa kenya wamecopy kutoka vipindi vya nje sasa sijui na hao wa nje walicopy kutoka wapi
East africa wanachukua vipaji toka redio za mkoa wanavikuza vinawakimbia. Ila kitu ambacho I am sure, ukiwa na pesa ukatengeneza kipindi kizuri ukanunua airtime ukapta wadhamini basi unapiga pesa. Mfano kipindi cha redio cha njia panda, japo ilikuwa back then kipindi sebastian ndege aliendelea kuwa ndiye mwenye nacho akawa analipia airtime na clouds hawakuweza kukimwibia.upo sahihi, Hata clouds, wasafi na wengine wengi content zao zote wanacopy za nje
na radio na Tv za mikoani nao wanacopy hizi media houses kubwa
Tatizo ni moja, Hizi media nyingi wanaajiri kwa kujuana sana kimjini mjini au kidogo kwa mtu ambaye yupo katika cycle ya media au entertainment industry tayari..
Huwa hawana system za wazi za kuvumbua vipaji vipya ndio maana utakuta kuna challenge za kutafuta watangazaji tu ila sio content makers..
Hapo ndo tatizo huanza mkuu
Hata salama kwa sasa anafanya kununua airtime tu sababu brand yake inaweza kumpatia sponsor popote. Ila kama ni mtu unaeanza bhasi uwe na demo au hata kitu kama social media account ambayo inaweza kumvutia sponsor kuweka pesa yake maana hawa watu wanapenda numbers sana. Kuwekeza pesa yao kwenye idea tu ni risk kubwa.East africa wanachukua vipaji toka redio za mkoa wanavikuza vinawakimbia. Ila kitu ambacho I am sure, ukiwa na pesa ukatengeneza kipindi kizuri ukanunua airtime ukapta wadhamini basi unapiga pesa. Mfano kipindi cha redio cha njia panda, japo ilikuwa back then kipindi sebastian ndege aliendelea kuwa ndiye mwenye nacho akawa analipia airtime na clouds hawakuweza kukimwibia.
Mbona unamkatisha tamaa mzee kwani unaijua uwezo wake?? Ni ngumu kwako sio kwa wote binadamu hatupo sawa mkuuSiku hizi ni ngumu kuuza idea mkuu, we fanya kutengeneza Demo, peleka kipindi clouds au wasafi muingie maubaliano kuwa kikiruka kikapata wadhamini mtagawana mapato au utakuwa ukilipia airtime.
Kama idea wengi wanazo ni ngumu sana kubadilisha idea kuwa kitu halisi, tengeneza demo kwanza. Unaweza kuimagine kitu flani lakini kukiweka wenye uhalisia ukashindwa, na hakuna kitu kigumu kama kutengeneza muendelezo wa vipindi bora vya TV.