Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo ukweli, na sikumkatisha tamaa nimempa uhalisia na njia ya kupitia kutimiza ndoto yake. Nimemwambia kwa kuuza idea ni ngumu ila atengeneze demo ya kipindi chake.Mbona unamkatisha tamaa mzee kwani unaijua uwezo wake?? Ni ngumu kwako sio kwa wote binadamu hatupo sawa mkuu