SACO JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 2,623 Reaction score 3,397 Dec 25, 2020 #21 Wewe unauza mimi idea bure.. anzisha kituo cha television halafu hayo maidea yatupie huko
Nafaka JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 12,154 Reaction score 31,246 Dec 25, 2020 #22 Vishu Mtata said: Mbona unamkatisha tamaa mzee kwani unaijua uwezo wake?? Ni ngumu kwako sio kwa wote binadamu hatupo sawa mkuu Click to expand... Ndiyo ukweli, na sikumkatisha tamaa nimempa uhalisia na njia ya kupitia kutimiza ndoto yake. Nimemwambia kwa kuuza idea ni ngumu ila atengeneze demo ya kipindi chake.
Vishu Mtata said: Mbona unamkatisha tamaa mzee kwani unaijua uwezo wake?? Ni ngumu kwako sio kwa wote binadamu hatupo sawa mkuu Click to expand... Ndiyo ukweli, na sikumkatisha tamaa nimempa uhalisia na njia ya kupitia kutimiza ndoto yake. Nimemwambia kwa kuuza idea ni ngumu ila atengeneze demo ya kipindi chake.