Nina wiki ya pili kazini, ila nataka kuacha kazi

Nina wiki ya pili kazini, ila nataka kuacha kazi

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Mazingira ya hii kampuni tu hayajanivutia. Ni kazi ya mkataba wa mwaka mmoja(renewable). So naona siwezi kuendelea nao mbele.

Ndio kwanza nina week ya pili kazini ila nataka kuacha.

Mnanishaurije?
 
Vipi mshahara unaeleweka?..kama vipi chukua mshahara wa mwezi huu kisha endelea kusaka ajira.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mazingira ya hii kampuni tu hayajanivutia.
Ni kazi ya mkataba wa mwaka mmoja(renewable)
So naona siwezi kuendelea nao mbele.
Ndio kwanza nina week ya pili kazini ila nataka kuacha.
Mnanishaurije?
Je mwanzo kabla ya kuwa hapo ulikuwa unafanya shughuli gani,je utofauti wa hapo ulipo na mwanzo ni kipato kutofautiana ama,ni heri uombe mapumziko ya angalau mwezi mmoja bila mshahara kisha ukaangalia upepo wa nje ya iyo ofisi mpya
 
Nina goli langu Town ambalo sikosi 300k kama faida kwa mwezi
 
Back
Top Bottom