Mwasapile
JF-Expert Member
- Apr 20, 2020
- 214
- 448
Hivi wadau nimejikuta nimekwama kwenye penzi la mchepuko kiasi kwamba nina wivu nae sana.
Nina mke na watoto, huyu mchepuko nilianza nae kitambo kidogo miaka ya nyuma na hatukuwa serious kihvyo ila sasa tunakoelekea dah nashindwa hata kuelewa.
Huyu mchepuko kakubaliana na hali halisi kuwa mimi nina familia yangu, na kwasababu hiyo basi na yeye ana mahusiano yake(ana mabwana zake).
Sasa ugomvi unaotokana na wivu unatokea pale mchepuko wangu nikagundua kaenda kwa hao mabwana zake kwakweli najisiki kuchanganyikiwa na navurugwa kiasi kwamba nahamishia ugomvi kwa wife na watoto, mara nyingine akainikasirisha jnakuta mke wangu ananiuliza nina shida gani lakini kwakuwa siwezi kuelezea kuwa tatizo ni mchepuko basi namuwashia hasira na yeye.
Huyi mchepuko nishamuomba aachane na hao mabwana zake hataki kabisa kusikia ananiambia mimi na yeye tunafanya for Fun sasa hawezi kuwa na mahusiano seriously na mimi kwasababu nina mke tayari.
Na akienda kwa mabwana zake huwa haniambii kwahyo nabaki hohehahe simu hapokei msgs hajibu, kwakweli nimechangangikiwa kabisa
Naombeni ushauri wenu wadau