Nina wivu na mchepuko

Nina wivu na mchepuko

Msimulie mkeo jinsi huyo mchepuko anavyokutesa, nakuapia hatakutesa Tena.
Utanishukuru.
Ramadan Kareem.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hili wazo kama limekaa fresh lakini kuna namna mambo yanaweza yakavurugika nikawa nimemwaga ugali home and away
 
Kwahyo huyu mchepuko wangu ni dhahiri anazingua sio!!

You see alot of people apa wananiona mimi fala lakini trust me wengi wetu hapaa ambao tuna wake zetu hata ikatokea ukiwa na mchepuko hautotaka huyo mchepuko awe na anatiwa na masela wengine
Hutaki awe na jamaa mwingine...muoe basi awe mke wa pili
 
Unapanik wakati nyapu ni yake. Kikubwa umeelezwa ukweli we endelea kula . Tena kula kwa tahadhari. Usije anza kulia ukinyimwa kisa kuchunguza sana.

Ata yeye anatamani kutombw* kila siku na wewe huko na mke afanyeje

Yaani kinachonikera ndio hicho tu mkuu kwenda kuliwa na masela wengine afu she is making me stupid, si aniambie “This weekend i need my privacy nisimtafute” yeye anaenda huko hasemi alafu mimi nabaki natapatapa kupiga simu aiseee
 
Hivi wadau nimejikuta nimekwama kwenye penzi la mchepuko kiasi kwamba nina wivu nae sana.

Nina mke na watoto, huyu mchepuko nilianza nae kitambo kidogo miaka ya nyuma na hatukuwa serious kihvyo ila sasa tunakoelekea dah nashindwa hata kuelewa.

Huyu mchepuko kakubaliana na hali halisi kuwa mimi nina familia yangu, na kwasababu hiyo basi na yeye ana mahusiano yake(ana mabwana zake).

Sasa ugomvi unaotokana na wivu unatokea pale mchepuko wangu nikagundua kaenda kwa hao mabwana zake kwakweli najisiki kuchanganyikiwa na navurugwa kiasi kwamba nahamishia ugomvi kwa wife na watoto, mara nyingine akainikasirisha jnakuta mke wangu ananiuliza nina shida gani lakini kwakuwa siwezi kuelezea kuwa tatizo ni mchepuko basi namuwashia hasira na yeye.

Huyi mchepuko nishamuomba aachane na hao mabwana zake hataki kabisa kusikia ananiambia mimi na yeye tunafanya for Fun sasa hawezi kuwa na mahusiano seriously na mimi kwasababu nina mke tayari.

Na akienda kwa mabwana zake huwa haniambii kwahyo nabaki hohehahe simu hapokei msgs hajibu, kwakweli nimechangangikiwa kabisa

Naombeni ushauri wenu wadau
Ukiona hivyo ujue siku zako za kuishi zinahesabika
 
Hutaki awe na jamaa mwingine...muoe basi awe mke wa pili

Afadhali hata mdada umekoment, wewe kwa hii situation unaionaje!? Put urself in my shoes…..what actions should i take!?
 
Ukiona hivyo ujue siku zako za kuishi zinahesabika

Siku za wanadamu wote hapa duniani zinahesabika hakuna anaeishi milele. Dont take urself a holly person kila mtu ana mauchafu yake anayoyafanya usijitie mungu mtu
 
Afadhali hata mdada umekoment, wewe kwa hii situation unaionaje!? Put urself in my shoes…..what actions should i take!?
Wewe na huyo bidada mna mipango yoyote? Kama ni kutafunana tu muache awe na jamaa mwingne na kama ni muislamu oa awe bi mdogo mana kumuacha huwezi.

Hii kesi kama ya DeepPond yaan mule mule [emoji23]
 
Sawa endeleeni kunitukana na kuniona mimi mjinga,
Nina uhakika wanaume wengi wanapatwa na hii hali sipo peke yangu.
Na nyie mnaosema kuwa ukimwi hauwezi isha kwa style hii kafieni mbele sijaja kuomba ushauri wa afya hapa mimi
Tena uwaambie ukweli, hapa wanajifanya wanaume wa shoka, ila huko nje sasa wanapigwa na mapenzi hadi wanakua makerubi. Unafiki tyuuh umewajaa bora wee umeweka wazi hapa.
 
Back
Top Bottom