Skylar
JF-Expert Member
- Nov 10, 2021
- 2,334
- 5,550
Pole sana, kama wewe umeweza kumfanya huyo mchepuko, basi nae ana main wake na anakufanya wewe mchepuko, tulia tu sindano ikuingie au baki njia kuuMi nishapanic aisee afu mnazidi kunipanikisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana, kama wewe umeweza kumfanya huyo mchepuko, basi nae ana main wake na anakufanya wewe mchepuko, tulia tu sindano ikuingie au baki njia kuuMi nishapanic aisee afu mnazidi kunipanikisha
Yaani unajua kabisa kuwa ameenda kuliwa? Nimejikuta nacheka kichizi wallah
Ukizama penzini unakuwa mjinga Square na mtumwaKuna ujinga mwingine unachekesha sana, umri wako tafadhali.![emoji276]
Nisijue.Kwan unajua/utajua bas? Wee kaa kwa kutulia tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unatafuta vita ya III ya Dunia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hili wazo kama limekaa fresh lakini kuna namna mambo yanaweza yakavurugika nikawa nimemwaga ugali home and away
Sasa muache mwenzio aliwe nje, huko ndo atapata bwana wa kumuoa. KhaaaahI would like her to be my sidechick for long, namfahamu tabia zake ndio maana sijataka kumuoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawee weekend si uwe na mkeo?Sasa kama dem nipo nae from monday to friday ikifika tu jmos anapotea kama mchawi tunakuja kuonana j3 na anarudi na mahaba yote ukimuuliza why she wasn’t replying to my calls anachekacheka mabusu mawili matatu unapotezea. Haya mambo yanakera sana aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas sawaah.Nisijue.
Unaonrea wivu kiti cha daladala kupandwq na kukaliwa na watu wengine?Hivi wadau nimejikuta nimekwama kwenye penzi la mchepuko kiasi kwamba nina wivu nae sana.
Nina mke na watoto, huyu mchepuko nilianza nae kitambo kidogo miaka ya nyuma na hatukuwa serious kihvyo ila sasa tunakoelekea dah nashindwa hata kuelewa.
Naombeni ushauri wenu wadau
Sasa kama dem nipo nae from monday to friday ikifika tu jmos anapotea kama mchawi tunakuja kuonana j3 na anarudi na mahaba yote ukimuuliza why she wasn’t replying to my calls anachekacheka mabusu mawili matatu unapotezea. Haya mambo yanakera sana aisee
Hayo mabusu mawili matatu anayokupa wewe mpokee na vitasa akili imkae vizuri siyo kukuona bushoke.Na umwambie kama hataki kuwa na wewe anyooshe goti asije kukuletea magonjwa familia yako ije itesekeSasa kama dem nipo nae from monday to friday ikifika tu jmos anapotea kama mchawi tunakuja kuonana j3 na anarudi na mahaba yote ukimuuliza why she wasn’t replying to my calls anachekacheka mabusu mawili matatu unapotezea. Haya mambo yanakera sana aisee
Kama yupo na mchepuko jumatatu hadi ijumaa sijui kazi anafanya saa ngapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawee weekend si uwe na mkeo?
Yaani hapo umeuiruhusu nafsi yako kuwa mtumwa kwake!! Hakuna kitu kibaya na kinachouma kama kudate na demu ambae unajua ana bwana/ mabwana halafu umpigie simu uone inaita haipokelewi!!!
Yaani hapo akili yako inakutuma sijui sasa hv kawekwa mbuzi kagoma au ananyonya dushe la mshikaji kama anavyonyonya lako au anaukatikia mpingo wa jamaa!! Aisee utaumia sana na utajitengenezea mastress yasiyokuwa na mpango ktk maisha yako na mwisho kabisa utaiharibu familia yako.
Kama una date nae we mchukulie kama malaya, usimuweke moyoni mwako hata kidogo ,infact don't even chase her wala usimpigiepigie simu mpk akutafute wewe ,asipokutafuta na wewe mpotezee endelea na mishe zako.
Ujasiri wa kumpiga ngumi anautoa wapu wakati hammiliki na they are just doing it for fun...mbaya zaidi inaonekana jamaa hamgharamikii huyo demu kodi ya nyumba wala kodi wa meza achilia mbali mavazi na urembo wake.Hayo mabusu mawili matatu anayokupa wewe mpokee na vitasa akili imkae vizuri siyo kukuona bushoke.Na umwambie kama hataki kuwa na wewe anyooshe goti asije kukuletea magonjwa familia yako ije iteseke