Nina wivu na mchepuko

Nina wivu na mchepuko

Na hili linahitaji usome mpaka degree kulitatua na kujua madhara yake
 
Hivi wadau nimejikuta nimekwama kwenye penzi la mchepuko kiasi kwamba nina wivu nae sana.

Nina mke na watoto, huyu mchepuko nilianza nae kitambo kidogo miaka ya nyuma na hatukuwa serious kihvyo ila sasa tunakoelekea dah nashindwa hata kuelewa.

Huyu mchepuko kakubaliana na hali halisi kuwa mimi nina familia yangu, na kwasababu hiyo basi na yeye ana mahusiano yake(ana mabwana zake).

Sasa ugomvi unaotokana na wivu unatokea pale mchepuko wangu nikagundua kaenda kwa hao mabwana zake kwakweli najisiki kuchanganyikiwa na navurugwa kiasi kwamba nahamishia ugomvi kwa wife na watoto, mara nyingine akainikasirisha jnakuta mke wangu ananiuliza nina shida gani lakini kwakuwa siwezi kuelezea kuwa tatizo ni mchepuko basi namuwashia hasira na yeye.

Huyi mchepuko nishamuomba aachane na hao mabwana zake hataki kabisa kusikia ananiambia mimi na yeye tunafanya for Fun sasa hawezi kuwa na mahusiano seriously na mimi kwasababu nina mke tayari.

Na akienda kwa mabwana zake huwa haniambii kwahyo nabaki hohehahe simu hapokei msgs hajibu, kwakweli nimechangangikiwa kabisa

Naombeni ushauri wenu wadau
Hahhaaa...kuna siku atakuvuruga mpk utamuhadithia mkeo.
 
Kama DeepPond hajapita Happ huu Uzi ninbatilli

Nashanga jamaa wanmtukana sna mnyakiyusa wetu ila kwa deeppond hawezi. Kumtukana wanampa mbinu snaa
Bwana mwakipesile umekozea wapi
 
Hivi wadau nimejikuta nimekwama kwenye penzi la mchepuko kiasi kwamba nina wivu nae sana.

Nina mke na watoto, huyu mchepuko nilianza nae kitambo kidogo miaka ya nyuma na hatukuwa serious kihvyo ila sasa tunakoelekea dah nashindwa hata kuelewa.

Huyu mchepuko kakubaliana na hali halisi kuwa mimi nina familia yangu, na kwasababu hiyo basi na yeye ana mahusiano yake(ana mabwana zake).

Sasa ugomvi unaotokana na wivu unatokea pale mchepuko wangu nikagundua kaenda kwa hao mabwana zake kwakweli najisiki kuchanganyikiwa na navurugwa kiasi kwamba nahamishia ugomvi kwa wife na watoto, mara nyingine akainikasirisha jnakuta mke wangu ananiuliza nina shida gani lakini kwakuwa siwezi kuelezea kuwa tatizo ni mchepuko basi namuwashia hasira na yeye.

Huyi mchepuko nishamuomba aachane na hao mabwana zake hataki kabisa kusikia ananiambia mimi na yeye tunafanya for Fun sasa hawezi kuwa na mahusiano seriously na mimi kwasababu nina mke tayari.

Na akienda kwa mabwana zake huwa haniambii kwahyo nabaki hohehahe simu hapokei msgs hajibu, kwakweli nimechangangikiwa kabisa

Naombeni ushauri wenu wadau
DeepPond

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Sawa endeleeni kunitukana na kuniona mimi mjinga,
Nina uhakika wanaume wengi wanapatwa na hii hali sipo peke yangu.
Na nyie mnaosema kuwa ukimwi hauwezi isha kwa style hii kafieni mbele sijaja kuomba ushauri wa afya hapa mimi
Ndio maana hata mchepuko hakuheshimu. Una mihemko sana
Inakuwaje unagongewa mchepuko na mtu zaidi ya mmoja?
 
Sawa endeleeni kunitukana na kuniona mimi mjinga,
Nina uhakika wanaume wengi wanapatwa na hii hali sipo peke yangu.
Na nyie mnaosema kuwa ukimwi hauwezi isha kwa style hii kafieni mbele sijaja kuomba ushauri wa afya hapa mimi
Wanaokutukana wanakosea sana, Unapaswa kushauriwa

Kuna Watu humu wanajiona wasafi Sana, wengine wote wanahatia.

Haifai kuhukumiana namna Hii,
Tujifunze kuheshimu mawazo ya mtu.

Mtoa mada nakuomba urelax,
Wenye Michepuko wenzio tupo wengi humu.

TUTAKUSHAURI VEMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kinachonikera ndio hicho tu mkuu kwenda kuliwa na masela wengine afu she is making me stupid, si aniambie “This weekend i need my privacy nisimtafute” yeye anaenda huko hasemi alafu mimi nabaki natapatapa kupiga simu aiseee
Ha ha ha ...Kuna vitu vinachekesha Sana,

Mi nnachoona Apo mpenz wako uyo kakuzidi exposure, she's is very open ila ktk namna ambayo haikuridhishi wewe.

Mi nnachoona,
Una Mchepuko Safi KABISA, wewe TU Ndo umeshindwa kwenenda na beat lake[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom