bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,873
...........!😀😀
kama kawaida
mpwa najiandaa kuingia ''maombolezoni'' YAHUSU;mc-lema
mpwa bora uende, waarusha wamesusa maiti na msiba wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...........!😀😀
kama kawaida
mpwa najiandaa kuingia ''maombolezoni'' YAHUSU;mc-lema
leo nilikuwa KWA-MJAPANI pale manzese.
chumba sh 35000/= MPAKA MONIE
ohooooo!mpwa bora uende, waarusha wamesusa maiti na msiba wake
tuko pamoja ekzoskeleton (rifaa tu yowa avatar), panahitajika maombi au mganga wa kienyeji kutatua hili problemu la sista annina.
Anninia kiukweli mi nilimsoma anzia asubuhi, hakutegemea ushauri kama huu waliotoa wengi wa wapwa naona.ANNINA mbona mimi haunishukuru inaonekana nimeongea mashudu eeh?...
HEHEHE!kelele kimtindo tuVipi vitanda vyake 6X6 au? Vipi vinapiga kelele?
Sasa akiendelea kukuzengua zaidi, you know where to find me! Mi kule kwetu MILA zinaruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja. I can think of you. Got that Law Girl?
Nimejaribu kuomba imejensi livu nikamzike mdumisha mila mwenzangu nimebaniwa! Mwaka kesho najiajiri mwenyewe! Watanikoma!mpwa bora uende, waarusha wamesusa maiti na msiba wake
KWA hiyo mimi hajanigongea senksi?Anninia kiukweli mi nilimsoma anzia asubuhi, hakutegemea ushauri kama huu waliotoa wengi wa wapwa naona.
ukichunguza utaona senks zimegongwa kwenye post za namna gani.
haina mbaya lakini anninia....si unajua tena!!!!
hela ya mchango imefika shs ngapi nikutafute tukale raha?
Chrispin, asante kwa mwaliko, nina wasiwasi kama tutawezana - MILA VS WIVU!
Annina
vere sadi stori,Nimejaribu kuomba imejensi livu nikamzike mdumisha mila mwenzangu nimebaniwa! Mwaka kesho najiajiri mwenyewe! Watanikoma!
Afu na wewe! Mwenzio natesti zali we unaniwekea kiwingu!
hehehehe!Hahahahaha Nyamayao bana ndo nimetoka kanda za Mbagala kukusanya mpaka saizi zimefika 2mil.
ANNINA mbona mimi haunishukuru inaonekana nimeongea mashudu eeh?...
HEHEHE!kelele kimtindo tu
lakini TUNASONGA
HEHEHE!kelele kimtindo tu
lakini TUNASONGA
mtarimbo hawezi kuususia, acha bwana ile kitu achana nayo, magari, nyumba nk vitasusiwa lakini pale full stop hata ukisema umesusa, unaweza usijue saa ngapi uli-lift hiyo ban maana unaweza stuka kitu kiko ndani ya nyumba mwe!Ila ule ushauri wako wa kumung'unya mtarimbo unahitaji thread yake iliyokamilika! Manake inawezekana Annina anaweza kuususia kwa kuwa tu ex gf alikuwa anautumia atakavyo (Na kujiexpress ofkozi, huwezi jua)
Pole sana Geoff, uniwie radhi mpenzi wangu, sikukusudia kukuumiza... bado nasoma post na kuzijibu, wewe ni mmoja wa watu ninaowajali na kuthamini michango yao. Hope umenielwa.
Annina
HAPA NYAMAYAO NABISHA!kwa ninavyomfahamu mimi x-pin hashindwi kuongeza mke wa saba,na anapokuwa NYAMAYAOOO!...llol lol lol!aisee hilo hatutashindwa.hata tukutuku tutaliweka rehanihebu huko...mwenzio anatafuta namna ya kuimarisha uhusiano wake ucyumbe we unataka kumuharibia malengo....uharibifu tu wakati ukishaaribu unaacha hapo unarudi kwa amam kayaii....ndio mana hukunioa.