Nina wivu nashindwa hata kumeza mate!

Nina wivu nashindwa hata kumeza mate!

swali hili inabidi umuulize anayekulilia ndo utapata jibu specific na unachokuwaga unamfanyia au? mi nikikujibu hutaelewa,hey zd uko wapi? au eliza

Ana hasira huyo! Mimba si mchezo bana! Hahaha! We huliagi kwani, mwaga vitu hapa mama!
 
Si unajua tena mambo ya kamati we acha tu na siku ya tukio mm ndo nitake miliki kamati ya vinywaji funguo za store ni mm nitakuwa nacontrol. Chriss siku hiyo nitampa adhabu atakuwa anakunywa Banta au Nguli ndogo tu.

OMG!!! Unampango wa kumfanya awe zezeta siku hiyo, kama yale ya wadosi ya kutafutia utajiri hahaaaa!!! bila yale mambo yake yaleee akili inasimama kufanctioni eti!!! ohooo
 
Si unajua tena mambo ya kamati we acha tu na siku ya tukio mm ndo nitake miliki kamati ya vinywaji funguo za store ni mm nitakuwa nacontrol. Chriss siku hiyo nitampa adhabu atakuwa anakunywa Banta au Nguli ndogo tu.
btw, Wapi Nguli?
 
Actually wivu lazima..lakini naona kama kuna kitu kinakusumbua usichoamini juu yake na ujakiweka wazi!! How comes umbadili mavazi..perfume..,sitting and bed room arrangements???

Unahitaji kufanya haya kweli kumbadili mtu?? Au unaona bado anampenda wa awali? Mana uyo nae mambo ya kumpa lift ex.g..ya nn??? Mapenzi yako 2sided msaidiane kila mtu amsaidie mwenzie kutomjengea mazingira ya wasiwasi kuwe na kuaminiana...at least kipite kipindi cha kutosha wewe kuridhika hayuko nae uyo x ndo ampe lift!! Vinginevyo kama hajaamua kubadilika toka moyoni u cant change him...

Nikwambie hili wanawake wengi awapendi kuambiwa... u need to study well the man,, soma alama za nyakati..kama unaona mtuPressure achana nae mapema... But kama hana shida anaheshimu mawazo yako..then tulia mpende akupende wivu aside...
 
NI KWAMBA ANNINA hana konfidensi!....SELF-CONFIDENSI IF I MUST BE SO SPECIFIC
 
Shukru Mungu uliempata ana huruma sana ingekuwa mimi ningekuwa nimeshakutema siku nyiingi manake huo wa kwako si wivu tu bali ni karaha tupu.utaendelea kubadili vitu mpaka lini? akimpa lift dadake utabadili siti ya gari hata pengine kulichoma moto ukidhani ni hawarake.wamwingiza hasara huyo.Angalia utajakosa mwana na maji ya moto ohooo!!
 
wameweka makazi hapo......!

mie mwenyewe navuta vuta cku nitakaribia kuacha kuingia humu hadi 14 feb....halafu jamaa valentine inakukuta honeymoon, akirudi bila mimba itabidi nifanye utafiti wa afya yako.
 
Angalia Blurei ataamka muda si mrefu!
blurei anazungumzia BEING PRECISE..........!if i must make a reminder!i mean kwa mujibu wake yeye(..na companero) being so precise ni tofauti sana na when someone tries to be SO SPECIFIC(IF YOU KNOW WAT AM SEING)

....siku hizi umekuwa mchoyo wa senksi,hebu nitwange na senksi hapa kwa kingereza kizuri kabisa😀
 
mie mwenyewe navuta vuta cku nitakaribia kuacha kuingia humu hadi 14 feb....halafu jamaa valentine inakukuta honeymoon, akirudi bila mimba itabidi nifanye utafiti wa afya yako.
....hahahahahahahah!
 
blurei anazungumzia BEING PRECISE..........!if i must make a reminder!i mean kwa mujibu wake yeye(..na companero) being so precise ni tofauti sana na when someone tries to be SO SPECIFIC(IF YOU KNOW WAT AM SEING)

....siku hizi umekuwa mchoyo wa senksi,hebu nitwange na senksi hapa kwa kingereza kizuri kabisa😀

Hahaha! Na hapo hujapata taska bado. Manake unapokamata taska, na dikshenari inafungua kurasa kumkichwa!! Hehehe! Nadhani hapa nimekuwa So Specific!
 
Wapendwa,
Nipo kwenye serious mahusiano na kwa mapenzi ya Mungu tunaweza kufunga ndoa. Tatizo nina wivu kupita maelezo, yaani saa zote nahisi kuibiwa...kwa mfano kuna siku nilikuta amempa lift zilipendwa wake na alikuwa amekaa kwenye siti ya mbele ya abiria, niliumia kupitiliza nikaacha kuitumia ile siti, kuanzia siku ile nikawa nakaa siti ya nyuma kama balozi! Baada ya muda akabadili gari -thanx God sasa nakalia siti yangu!

Nyumba anayoishi nimebadili karibu kila kitu kwani nahisi vina uhusiano na mpenzi wake aliyepita na vinaweza kumkumbusha waliyokuwa wakifanya - siwezi kuvumilia, nimembadili hata yeye - mavazi, perfume, sehemu za kutembelea nk nk yote hii ni kuhakikisha mimi ndio natawala mawazo yake na si vinginevyo, lengo ni kwamba kila kitu kinachomzunguka kiwe kinamkumbusha mimi! Akisafiri tunakesha kwa PC na simu... kuhakikisha yupo peke yake nitamtaka afanye mambo kadhaa ili nijiridhishe siibiwi... msg zikiingia kwenye simu yake mapigo ya moyo yanabadilika...huwa najitahidi kujizuia kusoma msg hizo lakini asiponiambia nani ametuma na kuniruhusu kusoma naweza kukosa usingizi siku kadhaa!

Jamani nisaidieni, ni mimi tu au na wengine wako hivi? Nina wasiwasi atachoka, kuna wakati naona namnyima uhuru, najaribu kujizuia lakini nashindwa, nifanyeje?

Annina

Una issue na self confidence sio kila mtu atakua kama your past experience learn to trust. Soon uvumilivu una mwisho so far utakuwa unavumiliwa tu na matendo yako ya ajabu are you a weirdo or somen.
 
Back
Top Bottom