Nina wivu nashindwa hata kumeza mate!

Nina wivu nashindwa hata kumeza mate!

Hahaha! Na hapo hujapata taska bado. Manake unapokamata taska, na dikshenari inafungua kurasa kumkichwa!! Hehehe! Nadhani hapa nimekuwa So Specific!

.......yaaah!umekuwa soo spesifiki!mara kadhaa tunapofika bia ya nne(kwa mujibu wa rekordsi nilizofanya hadi jana usiku)tunakuwa sooo spesifiki,na simu zinakuwa nyingi sana....NA TUNAHIMIZANA KUZIDUMISHA MILA ZETU!😀
 
kama anyeonewa wivu haoni tabu poa tu!! lakini sie wengine...............mmmh!!!
 
huchelewi kuleta ugomvi kwenye harus wewe, esp kwa kuangazaangaza kina dada zake G ukitafuta wa kujichimbia naye usiku. si unajua tena makambako na baridi?

Dada zake Geoff ni haramu kwangu! Usisahau Eliza ana ndugu zake kule!
 
gkundi
user_online.gif

gkundi has no status.
JF Senior Expert Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png

we ni he/she?
 
huchelewi kuleta ugomvi kwenye harus wewe, esp kwa kuangazaangaza kina dada zake G ukitafuta wa kujichimbia naye usiku. si unajua tena makambako na baridi?
HAPA NAPO PATAHITAJI THREDI

yahusu:BARIDI LA MAKAMBAKO NA SAFARI YA WAPWAAZ KUMSINDIKIZA GEOFF.watalikabili vipi?
 
.......yaaah!umekuwa soo spesifiki!mara kadhaa tunapofika bia ya nne(kwa mujibu wa rekordsi nilizofanya hadi jana usiku)tunakuwa sooo spesifiki,na simu zinakuwa nyingi sana....NA TUNAHIMIZANA KUZIDUMISHA MILA ZETU!😀

Dah! Kiu tayari! Ngoja niwahi sehem sehem nipige mbili za fasta kabla sijahamia kwenye valuu! Leo kuna gemu la mchangani (Ze elefanti vs Amavubi)
 
gkundi
user_online.gif

gkundi has no status.
JF Senior Expert Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png

we ni he/she?
hehehe!
mamaa la carmel huyu ni school-mate wangu kabisa seminarini na tunaheshimiana sana!TAFADHALI KAIEDITI POST YAKO...for me please
 
we mkubwa hayo mambo yapo kwa kila mtu...
nadhani kutoa mawazo ya jamaa yake ni kazi kwani inabidi umpatie mamboz huyo demu kiasi cha kumshinda jamaa yake wa kwanza! kuhusu mavazi nadhani hayana nafasi sana, hata ukikesha ktk net PC haisaidii...wanawake wanataka 'mambo matamu' wawapo faragha.....
 
hehehe!
mamaa la carmel huyu ni school-mate wangu kabisa seminarini na tunaheshimiana sana!TAFADHALI KAIEDITI POST YAKO...for me please
why should i edit while all i did was asking a genuine qn?
 
Ni akili ya mtu Geoff lakini ukiwa mwizi na wewe siku zote unawaza kuibiwa tu ..

Hapo umenena. Kwanza kwa mujibu wa maelezo yake ni kwamba hata yeye amemuopoa huyu bwana kutoka kwa mwanamke mwingine, which has the possibility kwamba alikuwa na mahusiano na huyu bwana hata kabla hajaachana na ex- wake. Swali ni je, wakati akiwa na huyu bwana, alikuwa hana boyfriend mwingine? Kama alikuweopo, then she is a known cheater, na hivyo hawezi kumwamini mtu yeyote tena. Na zaidi, kwa kuwa huyui jamaa (mwanaume) alikuwa naye kwa kificho akiwa na huyo ex wake, bila shaka huyu binti anaamini kwamba mzee hajaacha mchezo wa kula kuku wa kienyeji!
NB: Kuwa mvumilivu, kwani mwosha huoshwa!
 
Asante sana Nyumbu,

Kwa kifupi huyu bwana nimemkuta ameachana na huyo ex wake kwa karibu mwaka - kama alikuwa na mahusiano mengine baada ya huyo siyafahamu. Mimi pia sikuwa kwenye mahusiano wakati huo, na tulianza kuwa marafiki wa muda mrefu kabla hatujawa wapenzi, kwa kiasi fulani tunafahamiana vizuri. Nadhani sasa unaweza kunishauri baada ya kupata taarifa hizi.

Asante sana,

Annina
 
Actually wivu lazima..lakini naona kama kuna kitu kinakusumbua usichoamini juu yake na ujakiweka wazi!! How comes umbadili mavazi..perfume..,sitting and bed room arrangements???

Unahitaji kufanya haya kweli kumbadili mtu?? Au unaona bado anampenda wa awali? Mana uyo nae mambo ya kumpa lift ex.g..ya nn??? Mapenzi yako 2sided msaidiane kila mtu amsaidie mwenzie kutomjengea mazingira ya wasiwasi kuwe na kuaminiana...at least kipite kipindi cha kutosha wewe kuridhika hayuko nae uyo x ndo ampe lift!! Vinginevyo kama hajaamua kubadilika toka moyoni u cant change him...

Nikwambie hili wanawake wengi awapendi kuambiwa... u need to study well the man,, soma alama za nyakati..kama unaona mtuPressure achana nae mapema... But kama hana shida anaheshimu mawazo yako..then tulia mpende akupende wivu aside...

Twendefiki,

Ni mapungufu tu niliyonayo ndo maana nataka kubadilika, so far hajafanya chochote cha kuashiria bado ana mahusiano na huyo ex wake zaidi ya hiyo lift niliyoishudia. Anaheshimu mawazo yangu, na amekuwa na msaada mkubwa kwangu katika kutatua tatizohili. Mara nyingi natamani ningefahamiana nae mapema kabla ya zilipendwa and the like...

Kubadili mavazi, perfume na arrangement ya nyumba ni katika kuhangaika tu, naamini kuna kumbukumbu nyingi za mahusiano yaliyopita kwenye hilo, na hasa kama huyo ex alihusika katika kuchagua vitu hivyo... I want him to be all mine!

Poa annina...kama amelijua hilo na anakusaidia kukutoa wasiwasi then cool down, najua kitu kikubwa kichosumbua katika mahusiano ni simu..mi kwa upande wangu naona ni vizuri sana izi simu kila mtu awe free na simu ya mwenzie inasaidia sana kufanya umuamini sana mtu wako ata kama anafanya mambo mengine huko kwa (married couples as during friendship men rarely cheats..sina data lkn)

Kama mwanaume unaitaji mambo hayo ya nje, (it is abominashon though ee?? But wale waonao ni lazima!!) kwa kweli it should not just b a free lunch..struglle to hide your things si kumuwekea mwenzio pswd or kumzuia asiguse simu yako!! Ukiacha cm yako huru nakwambia kama unapenda kutoka nje utatoka utakavyo na mahusiano yenu na mkeo kubaki super!! Japo pia nidhamu ya mambo mengine mengi inaitajika ambayo wengi wanajitaidi kuonyesha..but linapokuja suala la simu linawafichua sana mambo yao!!

Hapa ann nimekuwa too general but kwa upande wako kwa kuwa una wivu ulopitiliza(bwahahahaaa) umesema mwenyewe dear..mpk umezi mate!! Mpenzi wako akuachie kabisa iyo simu mpaka mwenyewe utaacha kuifuatilia ila tu utaangalia kwa mapenzi yako ukiamua.....anyway all the best and i like the way u hav bn respondin to many posts here..and this tells me u ar a kind of woman who will b responding accordingly to different situations arising in your relationship..and eventually to your marriage..best of lack...
 
Si anajidai kasusia seat ya mbele mwambie na mtarimbo nao aususie aone au aukate kabisa awe anatembea nao kwenye kipima joto kama anaubavu huu ni wivu wa kijinga.

Fidel, asante kwa mawazo yako and I dont blame you kwani hakuna aliye mkamilifu ukiwemo wewe.

Nimesema mara nyingi, na narudia tena kwamba nimegundua ninachofanya hakina tija kwangu wala kwa mpenzi wangu ndio maana nimeomba ushauri ili niondokane na tabia hii. Kwamba nina wivu wa kijinga au kierevu hilo sio muhimu kwa sasa - nataka kuepukana nao.

Asante sana,

Annina
 
He makubwa!!!!!
Mi nilisha sema wewe kichwani mwako kuna uwalakini hii akiona Mr. wako atakuelewaje?[/QUOTE]

Fidel, kauli hii inanifanya niamini we are swimming in the same pool... kama si wivu wa kijinga ni nini? kwamba unaamini neno mpenzi linatumika kwa mtu mmoja tu? Kwamba ungekuwa wewe ungejali na kutaka maelezo ya kina kwanini nimetumia neno hilo kwa mtu nisiemjua kwenye internent! I'm sorry to say this but hii ni dalili ya walakini kichwani...

Asante sana,

Annina
 
Annina, asikudanganye mtu ndugu yangu ukimpenda mtu lazima uwe na wivu naye na wala hakuna ubaya wowote wa hilo, lakini huo wa kwako ndugu yangu umezidi sana kupita kiwango. Mwingine hata kama alikuwa hataki kufanya madudu anaweza kuamua kukuudhi makusudi au akaona huyu mtu mwenye kutaka kunicontrol kiasi hiki hanifai maishani mwangu hivyo ukarusha ndege wako na kubaki na majonzi makubwa
 
Nimekusoma Mkuu, asante sana.

Annina
 
Back
Top Bottom