Nina wivu nashindwa hata kumeza mate!

Nina wivu nashindwa hata kumeza mate!

Ila ule ushauri wako wa kumung'unya mtarimbo unahitaji thread yake iliyokamilika! Manake inawezekana Annina anaweza kuususia kwa kuwa tu ex gf alikuwa anautumia atakavyo (Na kujiexpress ofkozi, huwezi jua)

Hizo organs sio makombo jama...ingekuwa hivyo sidhani ingedumbukia/dumbukizwa sehemu zingine.
 
Hizo organs sio makombo jama...ingekuwa hivyo sidhani ingedumbukia/dumbukizwa sehemu zingine.

Penny, nashukuru kwa kuliona hilo... binaadam hawezi kuwa makombo ingekuwa hivyo ingekuwa balaa. Maana hata watoto waliozaliwa baada ya wenzao wangekuwa wanaambulia makombo ya wenzao, sasa mtoto wa kumi kuzaliwa sijui angekuwa ananyonya makombo ++??
 
Dada angu wivu haukuuanzia wewe tu bali upo toka enzi za adam na eva..hata mungu wetu ana wivu kwa watu wake akiona wanamuelekea shetani na maana halisi ya mapenzi ya kweli ni wivu,mapenzi bila wivu ni sawa na chai bila majani ambayo ni maji matamu....sioni ajabu yako wewe kutoa malalamiko kwa kitu ambacho kiko proved ila cha kukushauri tu liangalie penzi kwani kupenda ni rahisi sana lkn kulihandle penzi ndo issue..yangu maoni tu
 
Magulumangu nimekusoma, nashukuru sana.

Asante sana,

Annina
 
obsession. jamaa ana mkwanja ndo maana. pia umemkuta jentonam la sivyo ungeshatulizwa. nitumie email yako kwenye private nami nitakutumia mwongozo ambao utakusaidia
 
Wapendwa,
Nipo kwenye serious mahusiano na kwa mapenzi ya Mungu tunaweza kufunga ndoa. Tatizo nina wivu kupita maelezo, yaani saa zote nahisi kuibiwa...kwa mfano kuna siku nilikuta amempa lift zilipendwa wake na alikuwa amekaa kwenye siti ya mbele ya abiria, niliumia kupitiliza nikaacha kuitumia ile siti, kuanzia siku ile nikawa nakaa siti ya nyuma kama balozi! Baada ya muda akabadili gari -thanx God sasa nakalia siti yangu!

Nyumba anayoishi nimebadili karibu kila kitu kwani nahisi vina uhusiano na mpenzi wake aliyepita na vinaweza kumkumbusha waliyokuwa wakifanya - siwezi kuvumilia, nimembadili hata yeye - mavazi, perfume, sehemu za kutembelea nk nk yote hii ni kuhakikisha mimi ndio natawala mawazo yake na si vinginevyo, lengo ni kwamba kila kitu kinachomzunguka kiwe kinamkumbusha mimi! Akisafiri tunakesha kwa PC na simu... kuhakikisha yupo peke yake nitamtaka afanye mambo kadhaa ili nijiridhishe siibiwi... msg zikiingia kwenye simu yake mapigo ya moyo yanabadilika...huwa najitahidi kujizuia kusoma msg hizo lakini asiponiambia nani ametuma na kuniruhusu kusoma naweza kukosa usingizi siku kadhaa!

Jamani nisaidieni, ni mimi tu au na wengine wako hivi? Nina wasiwasi atachoka, kuna wakati naona namnyima uhuru, najaribu kujizuia lakini nashindwa, nifanyeje?

Annina

saida kaloli alishasema dawa ya wivu ni kujinyonga, na namsapot mia kwa mia. so please hurry up!!!!!
 
obsession. jamaa ana mkwanja ndo maana. pia umemkuta jentonam la sivyo ungeshatulizwa. nitumie email yako kwenye private nami nitakutumia mwongozo ambao utakusaidia

Asante Mziwanda, hivi mkwanja ndio unasababisha wivu? kwa namna gani? maana kama lengo ni pesa huwezi kuumia kwa kudhani ana mahusiano mengine mradi malengo yako yanatimizwa maana unakuwa kimasilahi zaidi.

Asante sana,

Annina
 
saida kaloli alishasema dawa ya wivu ni kujinyonga, na namsapot mia kwa mia. so please hurry up!!!!!

akili kichwani, nashukuru kwa mawazo yako. Samahani ningependa kujua wewe ni she au he? inaonekana pepo la wivu linakunyemelea... nijinyonge ili?

Asante sana,

Annina
 
obsession. jamaa ana mkwanja ndo maana. pia umemkuta jentonam la sivyo ungeshatulizwa. nitumie email yako kwenye private nami nitakutumia mwongozo ambao utakusaidia

Mmmh! Wema huu mimi nautilia mashaka!
 
naamini Annina na wadau wengine mkisoma huu ujumbe kwa umakini, mambo yatakuwa tofauti na tambarareeee

LIFEBOOK 2010
Health:

1. Drink plenty of water
2. Eat breakfast like a king, lunch like a prince and dinner like a beggar
3. Eat more foods that grow on trees and plants, and eat less food that is manufactured in plants
4. Live with the 3 E's -- Energy, Enthusiasm, and Empathy
5. Make time for prayer
6. Play more games
7. Read more books than you did in 2009
8. Sit in silence for at least 10 minutes each day
9. Sleep for 7 hours
10. Take a 10-30 minutes walk every day ---- and while you walk, smile

Personality:
11. Don't compare your life to others'. You have no idea what their journey is all about.
12. Don't have negative thoughts or things you cannot control. Instead invest your energy in the positive present moment
13.. Don't over do ; keep your limits
14. Don't take yourself so seriously ; no one else does
15. Don't waste your precious energy on gossip
16. Dream more while you are awake
17. Envy is a waste of time. You already have all you need..
18. Forget issues of the past. Don't remind your partner with his/her mistakes of the past. That will ruin your present happiness.
19. Life is too short to waste time hating anyone. Don't hate others.
20. Make peace with your past so it won't spoil the present
21. No one is in charge of your happiness except you
22. Realize that life is a school and you are here to learn. Problems are simply part of the curriculum that appear and fade away like algebra class but the lessons you learn will last a lifetime.
23. Smile and laugh more
24. You don't have to win every argument. Agree to disagree.

Community:
25. Call your family often
26. Each day give something good to others
27. Forgive everyone for everything
28. Spend time with people over the age of 70 & under the age of 6
29. Try to make at least three people smile each day
30. What other people think of you is none of your business
31. Your job won't take care of you when you are sick. Your family and friends will. Stay in touch.

Life:
32. Do the right things
33. Get rid of anything that isn't useful, beautiful or joyful
34. GOD heals everything
35. However good or bad a situation is, it will change
36. No matter how you feel, get up, dress up and show up
37. The best is yet to come
38. When you awake alive in the morning, thank GOD for it
39. Your Inner most is always happy. So, be happy.
 
Asante sana Mziwanda, maisha ni kujifunza

Asante sana,

Annina
 
Asante sana Mziwanda, maisha ni kujifunza

Asante sana,

Annina

u are welcome. Those i gave u are strategies. Your tasks are to implement them n evaluate the implementation. Dont forget maintenance of what u positively evaluated to be efficient n effective. Kwa lugha nyepesi, usiyachukulie hayo kinadharia
 
Sasa mbona saa nyingine mkipewa mtarimbo huwa mnalia? Huwa mnaumia au ndio raha zenyewe? Mi siwaelewagi ujue?

hapa kwa kweli mpwa x pin inabidi watuweke wazi mana sometime hatuwaelewi kabisa? akina ZD,FL1,CARMEL,LF,NANILIU,MJ1,BHT NA WENGINEO MTUAMBIE UKWELI WA HILO
 
u are welcome. Those i gave u are strategies. Your tasks are to implement them n evaluate the implementation. Dont forget maintenance of what u positively evaluated to be efficient n effective. Kwa lugha nyepesi, usiyachukulie hayo kinadharia

Mziwanda,

Tatizo kubwa huwa linakuwa kwenye utekelezaji, mengi tunajifunza na kupanga kuyafanyia kazi, lakini ni machache huwa yanatekelezwa. Nimekusudia kureform, nitajitahidi kadiri ya uwezo nilionao kuhakikisha nafikia lengo. Hii inahitaji utekelezaji kwa vitendo na sio nadharia pekee.

Asante sana,

Annina
 
huu wivu wako kiboko. ukimchunga mwanamme, unaharibu mambo yote, ushauri wa bure:ukitaka kumzibiti mwanamme wa kisasa, mpe tigo, matatizo yote yatakwisha
 
huu wivu wako kiboko. ukimchunga mwanamme, unaharibu mambo yote, ushauri wa bure:ukitaka kumzibiti mwanamme wa kisasa, mpe tigo, matatizo yote yatakwisha

Gambler, Khaa!

Annina
 
mwache aishi kwa matumaini dada wa watu!!! ila she should expect anything frm hyo jamaaa!!!! anacheza na mamen huyu eeeh!! wakitaka wakufix bila mzaha!! unamchunga ng'ombe huyooo?!

no matter wat she does hata kaa amuelewe huyu kiumbe wa Mungu!!! Men are very complicated and the more you try to understand the comlicated they become!!!!

Mh!!! Lol
 
Back
Top Bottom