See the colored part. I also thought the same. Labda ulimpata kibahati huyo mtu, i mean siyo level yako as Nyamayao would put it thats why unakuwa na kihoro cha aina hiyo. Maana hainiingii akilini mtu kukataa kukalia kiti cha mbele just because ex gf alikikalia, lol! sasa mbona mtarimbo unautumia hata kuumumunya wakati ex aliutumia kwa kila style. sorry galfriend but grow up if you need to start a family with this man.
wewe annina nakushauri umsule tu hapo utakuwa na amani kabisa.kULE KWETU huwa tunasula ng'ombe wale wa kulima.unaambiwa Ng'ombe hata akiwa na sex drive kali akisulwa aka kuhasiwa kwisha kazi.
We Annina inaonekana una matatizo kichwani humo kha! sasa mbona mtarimbo hujabadilisha? Mwenzio kaudownload mpaka amekuachia makombo wewe eti ukasusa kukaa kwenye kiti cha gari.
Achana na simu yake ila uwe unaichungulia kijanja mfano akienda kuoga hivi.Abiria chunga mzigo wako.Ila usimwonyeshe kuwa unamind saana mfano achana na kuuliza nani kamuandikia sms au kumpigia.wewe chunguza kiujanja asijue.Abiria chunga mzigo wako
See the colored part. I also thought the same. Labda ulimpata kibahati huyo mtu, i mean siyo level yako as Nyamayao would put it thats why unakuwa na kihoro cha aina hiyo. Maana hainiingii akilini mtu kukataa kukalia kiti cha mbele just because ex gf alikikalia, lol! sasa mbona mtarimbo unautumia hata kuumumunya wakati ex aliutumia kwa kila style. sorry galfriend but grow up if you need to start a family with this man.
tuko pamoja ekzoskeleton (rifaa tu yowa avatar), panahitajika maombi au mganga wa kienyeji kutatua hili problemu la sista annina.We Annina inaonekana una matatizo kichwani humo kha! sasa mbona mtarimbo hujabadilisha? Mwenzio kaudownload mpaka amekuachia makombo wewe eti ukasusa kukaa kwenye kiti cha gari.
Annina utakufa siku si zako ukiendekeza wivu kiasi hicho. Kumchunga binadamu si rahisi kabisa. Akitaka kufanya madudu yake atayafanya tu hata kama utajitahidi kumbadili kwa kiasi gani. Kama humuamini kutokana na matendo yake ni bora kuingia mitini mapema kabisa.
Na hiyo ya kumpa lift zilipendwa wake ni NO NO NO, nashangaa uliruhusu kitu kama hicho. Zilipendwa zinabaki zilipendwa mambo ya kupeana lift hayaruhusiwi kabisa au wanaweza kabisa kukumbushia enzi zao.
Nashukuru sana Pele,
Umesema sawa hapo kwa blue - tukianza kurudi makumbusho hatufiki popote, asante kwa kulitambua hilo.
Pia natambua madhara ya kuishi kwa wasiwasi wa kuibiwa 24/7 ndio maana nimelileta tatizo langu hapa maana wahenga wanasema mficha maradhi kifo kitamuumbua.
Annina
We Annina inaonekana una matatizo kichwani humo kha! sasa mbona mtarimbo hujabadilisha? Mwenzio kaudownload mpaka amekuachia makombo wewe eti ukasusa kukaa kwenye kiti cha gari.
Sasa akiendelea kukuzengua zaidi, you know where to find me! Mi kule kwetu MILA zinaruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja. I can think of you. Got that Law Girl?
Afu na wewe! Mwenzio natesti zali we unaniwekea kiwingu!Annina hasumbuliwi...anajisumbua mwenyewe.
kumbe annina AMEELEWA SOMO!well and good
...........!😀😀Afu na wewe! Mwenzio natesti zali we unaniwekea kiwingu!
leo nilikuwa KWA-MJAPANI pale manzese.Ulikuwa gesti gani wewe? Vitanda vyake havipigi kelele?
Huyo jamaa ulimpataje? Maana inavyoelekea hujiamini kabisa kama una deserve kuwa nae! Kutokujiamini mara nyingi hupelekea wivu wa kupindukia kama huu wako.
Lakini kuna kitu kizuri nakiona kwako: Umegundua kuwa una wivu ambao unahisi sio wa kawaida (ni kweli sio wa kawaida!), hii inakupa nafasi ya kujirekebisha kama ukuamua kufanya hivyo.
Thanks Annina kwa kutuelewa, mi nafurahi zaidi kwamba umekuwa mwelewa na umewaelewa wapwa na mabinamu kwa maushauri ya nguvu, sasa kazi kwako kuchagua mbichi na mbivu, and am sure ukifanyia kazi haya everything will turn out perfect and you will have peace of mind, happiness etc.
Ila tu usisahau kuleta mwaliko hapa mambo yakiiva lol!
ANNINA mbona mimi haunishukuru inaonekana nimeongea mashudu eeh?...SMU nashukuru sana kwa ushauri wa kitaalam - ubarikiwe.
Nimecheka hapo kwa blue, natamani yeye angekuwa anasoma hizi comment ili aseme alinipataje!
Asante sana,
Annina