Nina wivu nashindwa hata kumeza mate!

Nina wivu nashindwa hata kumeza mate!

See the colored part. I also thought the same. Labda ulimpata kibahati huyo mtu, i mean siyo level yako as Nyamayao would put it thats why unakuwa na kihoro cha aina hiyo. Maana hainiingii akilini mtu kukataa kukalia kiti cha mbele just because ex gf alikikalia, lol! sasa mbona mtarimbo unautumia hata kuumumunya wakati ex aliutumia kwa kila style. sorry galfriend but grow up if you need to start a family with this man.

Carmel, nimecheka sana hapo kwa blue, ndio maana nimesema nimejaribu kubadilisha KARIBU KILA KITU nyumbani kwake, sijabadili vyote naamini mwanasheria atakufafanulia zaidi... mimi pia ni mwanasheria - karibu Rome!

Annina
 
Annina, you know the problem and the solution should come from you. You must believe in yourself first and the same belief you have built in yourself you give to you darling. When you do that even if you are told he is with so and so.. you will never believe and in doing so you will nourish and grow your love ever and ever. Be positive to you partner actions and life.
 
wewe annina nakushauri umsule tu hapo utakuwa na amani kabisa.kULE KWETU huwa tunasula ng'ombe wale wa kulima.unaambiwa Ng'ombe hata akiwa na sex drive kali akisulwa aka kuhasiwa kwisha kazi.

Ndio nini?
 
We Annina inaonekana una matatizo kichwani humo kha! sasa mbona mtarimbo hujabadilisha? Mwenzio kaudownload mpaka amekuachia makombo wewe eti ukasusa kukaa kwenye kiti cha gari.

hela ya mchango imefika shs ngapi nikutafute tukale raha?
 
Achana na simu yake ila uwe unaichungulia kijanja mfano akienda kuoga hivi.Abiria chunga mzigo wako.Ila usimwonyeshe kuwa unamind saana mfano achana na kuuliza nani kamuandikia sms au kumpigia.wewe chunguza kiujanja asijue.Abiria chunga mzigo wako

Mama 5J's,

Nashukuru sana - Well noted...

Annina
 
See the colored part. I also thought the same. Labda ulimpata kibahati huyo mtu, i mean siyo level yako as Nyamayao would put it thats why unakuwa na kihoro cha aina hiyo. Maana hainiingii akilini mtu kukataa kukalia kiti cha mbele just because ex gf alikikalia, lol! sasa mbona mtarimbo unautumia hata kuumumunya wakati ex aliutumia kwa kila style. sorry galfriend but grow up if you need to start a family with this man.

carmel, nimekugongea senksi kwanza kabla ya kukunukuu...........Very well said, and you can say that again and again and again!
 
We Annina inaonekana una matatizo kichwani humo kha! sasa mbona mtarimbo hujabadilisha? Mwenzio kaudownload mpaka amekuachia makombo wewe eti ukasusa kukaa kwenye kiti cha gari.
tuko pamoja ekzoskeleton (rifaa tu yowa avatar), panahitajika maombi au mganga wa kienyeji kutatua hili problemu la sista annina.
 
Annina utakufa siku si zako ukiendekeza wivu kiasi hicho. Kumchunga binadamu si rahisi kabisa. Akitaka kufanya madudu yake atayafanya tu hata kama utajitahidi kumbadili kwa kiasi gani. Kama humuamini kutokana na matendo yake ni bora kuingia mitini mapema kabisa.

Na hiyo ya kumpa lift zilipendwa wake ni NO NO NO, nashangaa uliruhusu kitu kama hicho. Zilipendwa zinabaki zilipendwa mambo ya kupeana lift hayaruhusiwi kabisa au wanaweza kabisa kukumbushia enzi zao.

Nashukuru sana Pele,
Umesema sawa hapo kwa blue - tukianza kurudi makumbusho hatufiki popote, asante kwa kulitambua hilo.

Pia natambua madhara ya kuishi kwa wasiwasi wa kuibiwa 24/7 ndio maana nimelileta tatizo langu hapa maana wahenga wanasema mficha maradhi kifo kitamuumbua.

Sasa akiendelea kukuzengua zaidi, you know where to find me! Mi kule kwetu MILA zinaruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja. I can think of you. Got that Law Girl?
 
We Annina inaonekana una matatizo kichwani humo kha! sasa mbona mtarimbo hujabadilisha? Mwenzio kaudownload mpaka amekuachia makombo wewe eti ukasusa kukaa kwenye kiti cha gari.

Asante Fidel,
Ni kweli nina mapungufu, napenda kupita kiasi na inanigharimu amani yangu, nataka kuondokana na hali hii - nimedhamiria naamini pamoja na maombi nitafanikiwa.

Asante sana

Annina
 
Sasa akiendelea kukuzengua zaidi, you know where to find me! Mi kule kwetu MILA zinaruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja. I can think of you. Got that Law Girl?

Annina hasumbuliwi...anajisumbua mwenyewe.
 
Thanks Annina kwa kutuelewa, mi nafurahi zaidi kwamba umekuwa mwelewa na umewaelewa wapwa na mabinamu kwa maushauri ya nguvu, sasa kazi kwako kuchagua mbichi na mbivu, and am sure ukifanyia kazi haya everything will turn out perfect and you will have peace of mind, happiness etc.
Ila tu usisahau kuleta mwaliko hapa mambo yakiiva lol!
 
kumbe annina AMEELEWA SOMO!well and good
 
Huyo jamaa ulimpataje? Maana inavyoelekea hujiamini kabisa kama una deserve kuwa nae! Kutokujiamini mara nyingi hupelekea wivu wa kupindukia kama huu wako.

Lakini kuna kitu kizuri nakiona kwako: Umegundua kuwa una wivu ambao unahisi sio wa kawaida (ni kweli sio wa kawaida!), hii inakupa nafasi ya kujirekebisha kama ukuamua kufanya hivyo.

SMU nashukuru sana kwa ushauri wa kitaalam - ubarikiwe.

Nimecheka hapo kwa blue, natamani yeye angekuwa anasoma hizi comment ili aseme alinipataje!

Asante sana,

Annina
 
Thanks Annina kwa kutuelewa, mi nafurahi zaidi kwamba umekuwa mwelewa na umewaelewa wapwa na mabinamu kwa maushauri ya nguvu, sasa kazi kwako kuchagua mbichi na mbivu, and am sure ukifanyia kazi haya everything will turn out perfect and you will have peace of mind, happiness etc.
Ila tu usisahau kuleta mwaliko hapa mambo yakiiva lol!

Ila ule ushauri wako wa kumung'unya mtarimbo unahitaji thread yake iliyokamilika! Manake inawezekana Annina anaweza kuususia kwa kuwa tu ex gf alikuwa anautumia atakavyo (Na kujiexpress ofkozi, huwezi jua)
 
SMU nashukuru sana kwa ushauri wa kitaalam - ubarikiwe.

Nimecheka hapo kwa blue, natamani yeye angekuwa anasoma hizi comment ili aseme alinipataje!

Asante sana,

Annina
ANNINA mbona mimi haunishukuru inaonekana nimeongea mashudu eeh?...
 
Back
Top Bottom