Nina wivu nashindwa hata kumeza mate!

Nina wivu nashindwa hata kumeza mate!

naona leo mamaa la carmel AMEKUJA KI-VINGINE!....

ngoja nimpigie dada ake x-pin aingie AJICHOTEE MAUJUZI!...
 
..........nitahakikisha kijana maslahi yako yanakuwa secured

Hebu njoo chukua mchango wako fasta! Ofkozi na za taska 5 za baridi! Leo unanifurahisha sana kijana!
 
naona leo mamaa la carmel AMEKUJA KI-VINGINE!....

ngoja nimpigie dada ake x-pin aingie AJICHOTEE MAUJUZI!...

we we we..mbona ivo tena...pulease usimpigie, dont try this at home (Carmel, 2010)
 
naona leo mamaa la carmel AMEKUJA KI-VINGINE!....

ngoja nimpigie dada ake x-pin aingie AJICHOTEE MAUJUZI!...
kimcharuko ama? mmh, ngoja nipunguze spid nisije nikawa namhalalishia hubby kucheat lol.
 
Uhalalishe usihalalishe! Unaibiwa mama! Stuka! Wanaume ndivyo tulivyo, mbona huwa hamniamini?
 
upo kikazi zaidi!i mean umekuja kivingine.........

DEVELOP MAMA(namaanisha endelea😀)
 
Ila hii nayo inauma ila ndo ukweli wenyewe unfortunately, du!😡

ndio hapo mie nakuwaga na wivu wa mcmu mana nahic nitamboa mwenzangu, atakosa hata raha ya nyumbani kwake, sasa huyu mwenzetu cm ya mchumba ikiingia msg anapata wazimu kweli ana maisha marefu huyu?
 
hapana huyu sasa hivi ataungana na MC lema na tutamuimbia mapambio
 
Ndo kusema hataki mwenzie accomunicate na mtu mwingine yeyote?
Pls Annina, note kwamba jamaa yako asipokuwa na marafiki wengine wa kuccomunicate nao ila wewe tu kila wakati mmegandanda mtachokana mapema sana, si unajua itafika kipindi hata hakuna jipya kati yenu coz you are not in touch with the outside world, yani kama huwa unawashangaa wale ambao wanaendesha gari wamechuniana njia nzima ndo hivi, kisa hamna cha kuongea, so take care mama, let him be free.
 
hapana huyu sasa hivi ataungana na MC lema na tutamuimbia mapambio

Nimependa hiyo ya mapambio mpwa nimeugongea senki kule

Yani mapambio yatamfaa sana kwa sababu MC Lema sasa hivi ana hatihati ya kuzikwa bila ibada si alikufa akifanya uzinifu nje ya ndoa??? Mapambio yatamsindikiza kuleeee kunaitwa MWISHO WA NYODO/STAREHE aka MAKABURINI
 
ndio hapo mie nakuwaga na wivu wa mcmu mana nahic nitamboa mwenzangu, atakosa hata raha ya nyumbani kwake, sasa huyu mwenzetu cm ya mchumba ikiingia msg anapata wazimu kweli ana maisha marefu huyu?

afu eti Mrs watu wanashangaa sionekani, nitaonekana vipi na 'nyumbani kuna raha'? LOL😀
 
Uhalalishe usihalalishe! Unaibiwa mama! Stuka! Wanaume ndivyo tulivyo, mbona huwa hamniamini?
Mi siwezi kuamini na ndo maana naishi kwa amani bwana. Na sitaamini hadi nipate evidence ambayo ni proper, otherwise kujitia pressure na wasiwasi no, najua ni mimi tu until proved otherwise.
 
Back
Top Bottom