DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,579
- 3,798
Siri ya kupunguza wivuNikiri kwamba nina wivu kupita maelezo!
Hii hali mimi mwenyewe siipendi na hata hivyo nashindwa kuicontrol.
Sipendi kujiingiza kwenye mahusiano na wanawake kwa sababu hii hii!
Wakuu ni jinsi gani naweza kufanya ili kupunguza wivu?
🤣🤣🤣🤣 Mwenzio najizima data km sioni ila nna wivu mpk kuna muda najionea huruma mwenyewe.Kumbe tuko wengi ambao hatujielewi unaniacha nachekwa mwenyewe? Sijapenda.
Sasa mimi nimelalamika wapi jamani? Mi nasemaga tu ninavyompenda basi.Tatizo ww umezidi kila uzi unalalamika 🤣🤣🤣
Mi mwenzio jeuri najikaza najifanya km sioni ila naugulia moyoni.!!
No,anaweza asikuonyeshe ila anaumia ndani bwana....kama unamuamini Kwa Nini uwe na wivu hivyo jamani?Mi hata simu ya shemeji yako sitaki mazoea🤣Ni huzuni kwa kweli! Ila mstaarabu kaka wa watu wala hakasiriki!
Si km hivyo muda wote unamuongelea, hapo mayatima wa mapenzi wamejipanga waje wakucheke mkiachana 🤣🤣🤣Sasa mimi nimelalamika wapi jamani? Mi nasemaga tu ninavyompenda basi.
Simu nitashikaaaaaaa! Nikuambie ukweli, yuko mbali ndio maana.No,anaweza asikuonyeshe ila anaumia ndani bwana....kama unamuamini Kwa Nini uwe na wivu hivyo jamani?Mi hata simu ya shemeji yako sitaki mazoea🤣
Nzuri huo niletee mimiNikiri kwamba nina wivu kupita maelezo!
Hii hali mimi mwenyewe siipendi na hata hivyo nashindwa kuicontrol.
Sipendi kujiingiza kwenye mahusiano na wanawake kwa sababu hii hii!
Wakuu ni jinsi gani naweza kufanya ili kupunguza wivu?
Huyu wala hanaga wenge mimi tu ndio nilizingua. Kuachana ni kifo hakuna kingine.Si km hivyo muda unamuongelea, hapo mayatima wa mapenzi wamejipanga waje wakucheke mkiachana 🤣🤣🤣
Hayo mambo Nifah ni ngangali kama alisurvive kwenye misumari ya Uzi wa Kuachana na the bold na bado Tena kaongeza wa humuhumu japo hajatutambulisha rasmi😁😁😁naonaga penseli anamshutumu Kila konaSi km hivyo muda unamuongelea, hapo mayatima wa mapenzi wamejipanga waje wakucheke mkiachana 🤣🤣🤣
Nakazia[emoji419]Nadhani bado hujawahi kupigwa matukio, kuna stage ukifika kila kitu unajionea kawaida tu, hata mtu acheat mbele yako unaona fresh tu.. Wewe bado endelea kupenda tena wawili watatu hadi ukae sawa usiogope...
Kaka mzuri alikuwepo kabla ya ex ujue? Nilishakwambia bwana.Hayo mambo Nifah ni ngangali kama alisurvive kwenye misumari ya Uzi wa Kuachana na the bold na bado Tena kaongeza wa humuhumu japo hajatutambulisha rasmi😁😁😁naonaga penseli anamshutumu Kila kona
Yani hapo tyr washatunza kumbukumbu wazee wa masijala pakifanya pah! Wanakuletea comment yako 🤣🤣🤣Huyu wala hanaga wenge mimi tu ndio nilizingua. Kuachana ni kifo hakuna kingine.
Halafu, usiogope kuishi kwa kujali ya waja mwaya.
😳😳😳 Jamani kachukua tena humu humu?!!Hayo mambo Nifah ni ngangali kama alisurvive kwenye misumari ya Uzi wa Kuachana na the bold na bado Tena kaongeza wa humuhumu japo hajatutambulisha rasmi😁😁😁naonaga penseli anamshutumu Kila kona
Kuna mwenzio mmoja udugu wangu Mahondaw huyu ndio kiboko sasa 🤣🤣🤣Kaka mzuri alikuwepo kabla ya ex ujue? Nilishakwambia bwana.
Mimi wala maneno huwa hayanisumbui, nilishakuwa sugu hakuna vita sijapigana JF 😀
Sasa achukue wapi nasi tupo, mnataka tudode ama, tuitwe MANUNGAEMBE.. 😂🤣😳😳😳 Jamani kachukua tena humu humu?!!
Huyu apewe tuzo kwakweli.
🤣🤣🤣🤣Ulivyotia msisitizo Sasa!!Mimi naweza kutoushika hata miezi mitatu ila siku isiyo na jina amerelax ndio nampiga tukio....ila kushuka Kila siku ni kumongezea mbinu za maficho....siku hizi Hadi Wana app za kuficha meseji zaoSimu nitashikaaaaaaa! Nikuambie ukweli, yuko mbali ndio maana.
Akiwa hapatikani unajua shughuli yake, ila namuamini sana na anajua.
Jambo hili linatufundisha wapenzi wakigombana, chukua jembe ukalime.Kuna mwenzio mmoja udugu wangu Mahondaw huyu ndio kiboko sasa 🤣🤣🤣
Walimbebea baby wake, kapambana mpk kamrudisha ss hivi penzi limekolea nazi.!!