DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,579
- 3,798
Siri ya kupunguza wivuNikiri kwamba nina wivu kupita maelezo!
Hii hali mimi mwenyewe siipendi na hata hivyo nashindwa kuicontrol.
Sipendi kujiingiza kwenye mahusiano na wanawake kwa sababu hii hii!
Wakuu ni jinsi gani naweza kufanya ili kupunguza wivu?
Kujiamini kuwa wewe ni bora kuliko mtu yeyote
Kujiweka bize na mambo yako ya msingi
Kuamini kwamba mtu akikucheat bas yeye ndo hafai na sio wewe ndo haufai