Nina wivu wa kibwege sana

Nina wivu wa kibwege sana

Nikiri kwamba nina wivu kupita maelezo!
Hii hali mimi mwenyewe siipendi na hata hivyo nashindwa kuicontrol.

Sipendi kujiingiza kwenye mahusiano na wanawake kwa sababu hii hii!

Wakuu ni jinsi gani naweza kufanya ili kupunguza wivu?
Siri ya kupunguza wivu

Kujiamini kuwa wewe ni bora kuliko mtu yeyote
Kujiweka bize na mambo yako ya msingi
Kuamini kwamba mtu akikucheat bas yeye ndo hafai na sio wewe ndo haufai
 
Hivi mnawezaje aisee..mimi ndio sinaga time kabisa..mimi nadhani ukiwa busy na mishe za life huwezi kukaa eti umuonee wivu mwanamke.
 
No,anaweza asikuonyeshe ila anaumia ndani bwana....kama unamuamini Kwa Nini uwe na wivu hivyo jamani?Mi hata simu ya shemeji yako sitaki mazoea🤣
Simu nitashikaaaaaaa! Nikuambie ukweli, yuko mbali ndio maana.
Akiwa hapatikani unajua shughuli yake, ila namuamini sana na anajua.
 
Nikiri kwamba nina wivu kupita maelezo!
Hii hali mimi mwenyewe siipendi na hata hivyo nashindwa kuicontrol.

Sipendi kujiingiza kwenye mahusiano na wanawake kwa sababu hii hii!

Wakuu ni jinsi gani naweza kufanya ili kupunguza wivu?
Nzuri huo niletee mimi
 
Si km hivyo muda unamuongelea, hapo mayatima wa mapenzi wamejipanga waje wakucheke mkiachana 🤣🤣🤣
Hayo mambo Nifah ni ngangali kama alisurvive kwenye misumari ya Uzi wa Kuachana na the bold na bado Tena kaongeza wa humuhumu japo hajatutambulisha rasmi😁😁😁naonaga penseli anamshutumu Kila kona
 
Hayo mambo Nifah ni ngangali kama alisurvive kwenye misumari ya Uzi wa Kuachana na the bold na bado Tena kaongeza wa humuhumu japo hajatutambulisha rasmi😁😁😁naonaga penseli anamshutumu Kila kona
Kaka mzuri alikuwepo kabla ya ex ujue? Nilishakwambia bwana.
Mimi wala maneno huwa hayanisumbui, nilishakuwa sugu hakuna vita sijapigana JF 😀
 
Huyu wala hanaga wenge mimi tu ndio nilizingua. Kuachana ni kifo hakuna kingine.
Halafu, usiogope kuishi kwa kujali ya waja mwaya.
Yani hapo tyr washatunza kumbukumbu wazee wa masijala pakifanya pah! Wanakuletea comment yako 🤣🤣🤣

Hamna bana nakuzingua, sema ww mpende bwana shemeji mpk mayatima huku tulie machozi yakaukiane mashavuni ila nyie msiachane.!
 
Hahahaa umenikumbusha shemeji yangu alimfuata mke wake kwenye sherehe hizi za usiku ya harusi.Akamfuata saa tatu, yaani bibi harusi anaingia ukumbini yeye ndo anamfuata mke wake amrudishe nyumbani, hapo ruhusa imeombwa mwezi mmoja kabla, nilicheka sana kuna wivu mwingine wa kijinga kweli.
 
Kaka mzuri alikuwepo kabla ya ex ujue? Nilishakwambia bwana.
Mimi wala maneno huwa hayanisumbui, nilishakuwa sugu hakuna vita sijapigana JF 😀
Kuna mwenzio mmoja udugu wangu Mahondaw huyu ndio kiboko sasa 🤣🤣🤣
Walimbebea baby wake, kapambana mpk kamrudisha ss hivi penzi limekolea nazi.!!
 
Simu nitashikaaaaaaa! Nikuambie ukweli, yuko mbali ndio maana.
Akiwa hapatikani unajua shughuli yake, ila namuamini sana na anajua.
🤣🤣🤣🤣Ulivyotia msisitizo Sasa!!Mimi naweza kutoushika hata miezi mitatu ila siku isiyo na jina amerelax ndio nampiga tukio....ila kushuka Kila siku ni kumongezea mbinu za maficho....siku hizi Hadi Wana app za kuficha meseji zao
 
Back
Top Bottom