Nina wivu wa kibwege sana

Unatuuzia ramani ya MBWINU za vita 😂😂
 
Kaka mzuri alikuwepo kabla ya ex ujue? Nilishakwambia bwana.
Mimi wala maneno huwa hayanisumbui, nilishakuwa sugu hakuna vita sijapigana JF 😀
Kweli tumetofautiana,,,Mimi na maneno hapaaaana,Nina Moyo mdogo sana,yaani maneno Huwa yananiput off sana naona kama Ile dignity yangu imepotea,ila wivu naumudu sana
 
Mimi wala sinaga muda na simu, ila ndio kama hivyo itokee tu ndio maana siwezi kusema sitoshika.

Sipendi mwanaume mwenye mashaka na simu yake, it's a turn off.
Akijiamini naweza kupitisha mwaka sijaigusa.
 
Jambo hili linatufundisha wapenzi wakigombana, chukua jembe ukalime.
Alipinduliwa, nae kajipanga kapindua meza kibabe.
Km zile nchi za Sudan ni mwendo wa kupinduana 🤣🤣🤣🤣
Sasa ss hivi aweke ulinzi mkali asije kupinduliwa tena, waasi wanajipanga kufanya mapinduzi
 
Unatuuzia ramani ya MBWINU za vita 😂😂
Mmekuwa watukutu sana nyie,yaani kushinda napekua simu ya shemeji yako ni kumongezea mbinu tu.....Bora ajisahau ajua mama la mama hanaga Hizo,mara paaap!
 
Always ukidate na watu wanaokuzidi status Ndio Matokeo yake hayo. My advice ni kwamba usiruke stage, kama stage yako ni ya kina mwantum basi deal na akina mwantum😁😁. One step at a time
 
Km zile nchi za Sudan ni mwendo wa kupinduana 🤣🤣🤣🤣
Sasa ss hivi aweke ulinzi mkali asije kupinduliwa tena, waasi wanajipanga kufanya mapinduzi
😂🤣Kama kongo, ni mwendo wa kupinduana pinduana tu..

Jamani nami atokee wa kumpindua mamsapu 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…