Nina wivu wa kibwege sana

Nina wivu wa kibwege sana

Kaka mzuri alikuwepo kabla ya ex ujue? Nilishakwambia bwana.
Mimi wala maneno huwa hayanisumbui, nilishakuwa sugu hakuna vita sijapigana JF 😀
Kweli tumetofautiana,,,Mimi na maneno hapaaaana,Nina Moyo mdogo sana,yaani maneno Huwa yananiput off sana naona kama Ile dignity yangu imepotea,ila wivu naumudu sana
 
🤣🤣🤣🤣Ulivyotia msisitizo Sasa!!Mimi naweza kutoushika hata miezi mitatu ila siku isiyo na jina amerelax ndio nampiga tukio....ila kushuka Kila siku ni kumongezea mbinu za maficho....siku hizi Hadi Wana app za kuficha meseji zao
Mimi wala sinaga muda na simu, ila ndio kama hivyo itokee tu ndio maana siwezi kusema sitoshika.

Sipendi mwanaume mwenye mashaka na simu yake, it's a turn off.
Akijiamini naweza kupitisha mwaka sijaigusa.
 
Jambo hili linatufundisha wapenzi wakigombana, chukua jembe ukalime.
Alipinduliwa, nae kajipanga kapindua meza kibabe.
Km zile nchi za Sudan ni mwendo wa kupinduana 🤣🤣🤣🤣
Sasa ss hivi aweke ulinzi mkali asije kupinduliwa tena, waasi wanajipanga kufanya mapinduzi
 
Always ukidate na watu wanaokuzidi status Ndio Matokeo yake hayo. My advice ni kwamba usiruke stage, kama stage yako ni ya kina mwantum basi deal na akina mwantum😁😁. One step at a time
 
Km zile nchi za Sudan ni mwendo wa kupinduana 🤣🤣🤣🤣
Sasa ss hivi aweke ulinzi mkali asije kupinduliwa tena, waasi wanajipanga kufanya mapinduzi
😂🤣Kama kongo, ni mwendo wa kupinduana pinduana tu..

Jamani nami atokee wa kumpindua mamsapu 😂
 
Back
Top Bottom