makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Unatuuzia ramani ya MBWINU za vita 😂😂🤣🤣🤣🤣Ulivyotia msisitizo Sasa!!Mimi naweza kutoushika hata miezi mitatu ila siku isiyo na jina amerelax ndio nampiga tukio....ila kushuka Kila siku ni kumongezea mbinu za maficho....siku hizi Hadi Wana app za kuficha meseji zao