Nina wivu wa kibwege sana

Nina wivu wa kibwege sana

Yani wewe ni mimi kabisa. Hadi sometimes namuonea huruma kaka wa watu maana nawasha moto kila siku mwenyewe ananituliza tu masikini!
Nimejaribu sana walau kupunguza nimeshindwa, mwisho nimekubali kuishi nao hivyohivyo.
 
Jitahidi usiwe na mahusiano yoyote utaondokana na hilo tatizo.
 
Ajikite kwenye kilimo na ufugaji aje ale mayai na kamchuzi ka mbuzi
Halafu utakuta mtu mwenyewe anayemuonea wivu wa ajabu.!! Yupo km Sele wa mbosso 😂😂😂
Dada twende tukatafute mashamba Mkuranga tuanze project ya ufugaji bana
Hebu tuacheni jamani! Tunaitamani sana hiyo mioyo yenu lakini imeshindikana sasa.
Wivu unatesa sana.
 
Yan nimemuacha mwanaume wa hiv jana tu jitu linawivu mpaka ukiwa kazini[emoji849], kununa sasa[emoji1430] gubu jaman khee na alikua ananitishia kuniacha kila siku namplz yaishe jana nimemuacha kweli shenzi yule
 
Yani wewe ni mimi kabisa. Hadi sometimes namuonea huruma kaka wa watu maana nawasha moto kila siku mwenyewe ananituliza tu masikini!
Nimejaribu sana walau kupunguza nimeshindwa, mwisho nimekubali kuishi nao hivyohivyo.
.
Kuwa na wivu ni human nature so it's understandable lakini kushindwa kuji-control unapoona wivu, ni kujiendekeza.
.
Ukiamua unaweza kubadilika, anza na kupuuzia mambo ambayo hayana madhara kwenye mahusiano yenu. Overtime it will get better
 
Hebu tuacheni jamani! Tunaitamani sana hiyo mioyo yenu lakini imeshindikana sasa.
Wivu unatesa sana.
🤣🤣🤣 Sina moyo wowote shogare, nna mtu nampenda hata nikisikia figo yake imefeli namtolea yangu…!!! Sema mi nna hasira halafu jeuri
 
Back
Top Bottom