MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Unakoelekea ata sabuni unayoitumia kujichua utaionea wivu ikitumiwa na mtu mwingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesoma mahali tu mkuu😂😂😂HApa chumvi umezidisha bwana
😂😂😂Unakoelekea ata sabuni unayoitumia kujichua utaionea wivu ikitumiwa na mtu mwingine
kukua ni kuanzia umri gani mkuu? huenda ni kweli sijakuaUkikua Utaacha Ni Suala La Muda.
bora tuwe wengi! Pole sana [emoji23]Hata mimi hali hii inanitesa
mapenzi yana wenyewe!Achana na mapenzi yatakuua
Hapana hawez akawa ameshafika hatua hiyo..bado sanaaahahah huenda anaongea kwa experience
hahahHapana hawez akawa ameshafika hatua hiyo..bado sanaaa
Ajikite kwenye kilimo na ufugaji aje ale mayai na kamchuzi ka mbuziAchana na mapenzi yatakuua
Halafu utakuta mtu mwenyewe anayemuonea wivu wa ajabu.!! Yupo km Sele wa mbosso 😂😂😂Ajikite kwenye kilimo na ufugaji aje ale mayai na kamchuzi ka mbuzi
Nimeahirisha kuja piemu. Kumbe ulishakomaa namna hii?Nadhani bado hujawahi kupigwa matukio, kuna stage ukifika kila kitu unajionea kawaida tu, hata mtu acheat mbele yako unaona fresh tu.. Wewe bado endelea kupenda tena wawili watatu hadi ukae sawa usiogope...
Ajikite kwenye kilimo na ufugaji aje ale mayai na kamchuzi ka mbuzi
Hebu tuacheni jamani! Tunaitamani sana hiyo mioyo yenu lakini imeshindikana sasa.Halafu utakuta mtu mwenyewe anayemuonea wivu wa ajabu.!! Yupo km Sele wa mbosso 😂😂😂
Dada twende tukatafute mashamba Mkuranga tuanze project ya ufugaji bana
.Yani wewe ni mimi kabisa. Hadi sometimes namuonea huruma kaka wa watu maana nawasha moto kila siku mwenyewe ananituliza tu masikini!
Nimejaribu sana walau kupunguza nimeshindwa, mwisho nimekubali kuishi nao hivyohivyo.
Aisee Mimi nilishagapigwa tukio mpaka Moyo umekuwa sugu....wivu kiasi tuHebu tuacheni jamani! Tunaitamani sana hiyo mioyo yenu lakini imeshindikana sasa.
Wivu unatesa sana.
🤣🤣🤣 Sina moyo wowote shogare, nna mtu nampenda hata nikisikia figo yake imefeli namtolea yangu…!!! Sema mi nna hasira halafu jeuriHebu tuacheni jamani! Tunaitamani sana hiyo mioyo yenu lakini imeshindikana sasa.
Wivu unatesa sana.
Utavava [emoji23][emoji23][emoji23]ji yuja
LaanatullahAstaghifilulah!