Nina wivu wa kibwege sana

Nina wivu wa kibwege sana

Nikiri kwamba nina wivu kupita maelezo!
Hii hali mimi mwenyewe siipendi na hata hivyo nashindwa kuicontrol.

Sipendi kujiingiza kwenye mahusiano na wanawake kwa sababu hii hii!

Wakuu ni jinsi gani naweza kufanya ili kupunguza wivu?
Usipokuwa kwenye mahusiano napo bado utakuwa na wivu?
 
Yani wewe ni mimi kabisa. Hadi sometimes namuonea huruma kaka wa watu maana nawasha moto kila siku mwenyewe ananituliza tu masikini!
Nimejaribu sana walau kupunguza nimeshindwa, mwisho nimekubali kuishi nao hivyohivyo.
Dah unampa tabu sana mtoto wa mama mkwe....!
 
Yan nimemuacha mwanaume wa hiv jana tu jitu linawivu mpaka ukiwa kazini[emoji849], kununa sasa[emoji1430] gubu jaman khee na alikua ananitishia kuniacha kila siku namplz yaishe jana nimemuacha kweli shenzi yule
Ungemzibua na kofi akasimulie kwao 🤣🤣
 
huyo ***** anawazaga kufirwa ***** tu siku zote
Sasa umesema unaogopa na unashindwa kuingia kwenye mahusiano na wanawake kisa una wivu,
Ndo nimekuambia jaribu kwa jinsia yako ya kiume, huenda hutokuwa na wivu
 
Halafu utakuta mtu mwenyewe anayemuonea wivu wa ajabu.!! Yupo km Sele wa mbosso [emoji23][emoji23][emoji23]
Dada twende tukatafute mashamba Mkuranga tuanze project ya ufugaji bana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee Mimi nilishagapigwa tukio mpaka Moyo umekuwa sugu....wivu kiasi tu
Mimi tukio kupigwa kwa kweli hapana, na sikumbuki kumpenda mtu kiasi cha kuniachia majeraha ya kukumbukwa.
Pole mwaya

🤣🤣🤣 Sina moyo wowote shogare, nna mtu nampenda hata nikisikia figo yake imefeli namtolea yangu…!!! Sema mi nna hasira halafu jeuri
Sasa kumbe tuko chama moja unanirusha roho tu mpaka najiona mkosaji! Ujeuri ulikuwa zamani, sasa hivi nimekoma kiranga mpoleeee. Lols
 
Sasa kumbe tuko chama moja unanirusha roho tu mpaka najiona mkosaji! Ujeuri ulikuwa zamani, sasa hivi nimekoma kiranga mpoleeee. Lols
Tatizo ww umezidi kila uzi unalalamika 🤣🤣🤣

Mi mwenzio jeuri najikaza najifanya km sioni ila naugulia moyoni.!!
 
Back
Top Bottom