Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
🤣🤣🤣 Nihadithie tukio hata moja basi sisAisee Mimi nilishagapigwa tukio mpaka Moyo umekuwa sugu....wivu kiasi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 Nihadithie tukio hata moja basi sisAisee Mimi nilishagapigwa tukio mpaka Moyo umekuwa sugu....wivu kiasi tu
Ndo kunapambazukaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23]Kumekuchaaaaa
Usipokuwa kwenye mahusiano napo bado utakuwa na wivu?Nikiri kwamba nina wivu kupita maelezo!
Hii hali mimi mwenyewe siipendi na hata hivyo nashindwa kuicontrol.
Sipendi kujiingiza kwenye mahusiano na wanawake kwa sababu hii hii!
Wakuu ni jinsi gani naweza kufanya ili kupunguza wivu?
Dah unampa tabu sana mtoto wa mama mkwe....!Yani wewe ni mimi kabisa. Hadi sometimes namuonea huruma kaka wa watu maana nawasha moto kila siku mwenyewe ananituliza tu masikini!
Nimejaribu sana walau kupunguza nimeshindwa, mwisho nimekubali kuishi nao hivyohivyo.
Ungemzibua na kofi akasimulie kwao 🤣🤣Yan nimemuacha mwanaume wa hiv jana tu jitu linawivu mpaka ukiwa kazini[emoji849], kununa sasa[emoji1430] gubu jaman khee na alikua ananitishia kuniacha kila siku namplz yaishe jana nimemuacha kweli shenzi yule
Zamani hukoo mambo yameshaishaa🤣🤣🤣 Nihadithie tukio hata moja basi sis
Sasa umesema unaogopa na unashindwa kuingia kwenye mahusiano na wanawake kisa una wivu,huyo ***** anawazaga kufirwa ***** tu siku zote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu utakuta mtu mwenyewe anayemuonea wivu wa ajabu.!! Yupo km Sele wa mbosso [emoji23][emoji23][emoji23]
Dada twende tukatafute mashamba Mkuranga tuanze project ya ufugaji bana
Nipe bana nipate uzoefu likija nijue jinsi ya kudili nalo 😂Zamani hukoo mambo yameshaishaa
Utasutwa 🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Boss wangu Countrywide ....🤣🤣🤣 Sina moyo wowote shogare, nna mtu nampenda hata nikisikia figo yake imefeli namtolea yangu…!!! Sema mi nna hasira halafu jeuri
Mimi tukio kupigwa kwa kweli hapana, na sikumbuki kumpenda mtu kiasi cha kuniachia majeraha ya kukumbukwa.Aisee Mimi nilishagapigwa tukio mpaka Moyo umekuwa sugu....wivu kiasi tu
Sasa kumbe tuko chama moja unanirusha roho tu mpaka najiona mkosaji! Ujeuri ulikuwa zamani, sasa hivi nimekoma kiranga mpoleeee. Lols🤣🤣🤣 Sina moyo wowote shogare, nna mtu nampenda hata nikisikia figo yake imefeli namtolea yangu…!!! Sema mi nna hasira halafu jeuri
Nalipenda mpk sijielewi. 🤦♀️Boss wangu Countrywide ....
Ni huzuni kwa kweli! Ila mstaarabu kaka wa watu wala hakasiriki!Dah unampa tabu sana mtoto wa mama mkwe....!
Kumbe tuko wengi ambao hatujielewi unaniacha nachekwa mwenyewe? Sijapenda.Nalipenda mpk sijielewi. 🤦♀️
Na lishajua nalipenda basi linanitesa.!! 😔😔
Tatizo ww umezidi kila uzi unalalamika 🤣🤣🤣Sasa kumbe tuko chama moja unanirusha roho tu mpaka najiona mkosaji! Ujeuri ulikuwa zamani, sasa hivi nimekoma kiranga mpoleeee. Lols