Nina wivu wa kibwege sana

Nina wivu wa kibwege sana

Nikiri kwamba nina wivu kupita maelezo!
Hii hali mimi mwenyewe siipendi na hata hivyo nashindwa kuicontrol.

Sipendi kujiingiza kwenye mahusiano na wanawake kwa sababu hii hii!

Wakuu ni jinsi gani naweza kufanya ili kupunguza wivu?
Usiwe na mwanamke mmoja, Ila hii itategemea uchumi pia maana wanawake wa siku hizi kama vibubu mda wote wanataka utumbukize pesa.
 
Mimi wala sinaga muda na simu, ila ndio kama hivyo itokee tu ndio maana siwezi kusema sitoshika.

Sipendi mwanaume mwenye mashaka na simu yake, it's a turn off.
Akijiamini naweza kupitisha mwaka sijaigusa.
Okay...kama hivyo sawa
 
Unatuuzia ramani ya MBWINU za vita 😂😂
Mie niliwahi kuwa mjinga kupekua simu akawa anaweka app za kulock afu ananiachia simu. Nazifuta app kila kitu wazi napekua napekua najionea ya dunia. Then nazirudisha naweka password na email yake badae zilikataa na reset password wanamtumia link. Nikatafuta pisi zingine 3 nikaziunga tela basi nikasahau hata kama yupo yeye ndio akawa ana fight kuniweka karibu maana aliona kabisa mwamba siku hizi hata haulizi akipiga simu haipokelewi masaa. Mwamba ilifikia nikawa kama bubu sisemi chochote hata anapoona kanikera. Mwamba nikawa mtu wa safari nje ya jiji akaanza kutaka kujua naendaga wapi. Basi ikawa purukushani nachungwa. Mpaka sasa akama hajaniambia anataka dushelele basi simuombi nakausha na anajua zamani sipitishi siku 2 nataka kipochi, ghafla anashangaa nakaa wiki 2 kimya yaani kifupi unavyoonesha attention kwake ndio unamuweka mbali na wewe.
 
Sijui hata mi nina wivu wa kiboya hivyo hivyo vunga tu mkali wade haina tiba ficha tu usijulikane
 
Back
Top Bottom