Nina wivu wa kibwege sana

Nina wivu wa kibwege sana

No,anaweza asikuonyeshe ila anaumia ndani bwana....kama unamuamini Kwa Nini uwe na wivu hivyo jamani?Mi hata simu ya shemeji yako sitaki mazoea
hata mimi hawajuagi kama nina wivu saana! Navunga tu kisha namove on
 
Kweli tumetofautiana,,,Mimi na maneno hapaaaana,Nina Moyo mdogo sana,yaani maneno Huwa yananiput off sana naona kama Ile dignity yangu imepotea,ila wivu naumudu sana
mimi nilidhani kwamba huna wivu kabisa! Kumbe unao isipokuwa unaumudu!
Hata mimi ninaumudu ila kwa maumivu makali sana
 
Sijui hata mi nina wivu wa kiboya hivyo hivyo vunga tu mkali wade haina tiba ficha tu usijulikane
[emoji23][emoji23] asante kwa kuja Mkuu Lucha nilidhani ni mimi na Nifah peke yetu yaani 2/50!
Wengine wanaanza kejeli ati nitafute mwanaume mwenzangu cocastic na wanzako kumanina zenu!

Mkuu Candela ulichosema kina ukweli mwingi asante kwa ushauri.
 
Hataacha hii nadhani huwa ni inborn na malezi mi pia ninayo na Inanipa wakati mgumu sana so most of the time huwa na pretend kama Niko ok ila burning inside
ili usionekane mtu wa ajabu inabidi upretend kama uko sawa basi tu
 
mimi nilidhani kwamba huna wivu kabisa! Kumbe unao isipokuwa unaumudu!
Hata mimi ninaumudu ila kwa maumivu makali sana
Huwezi kukosa wivu Kwa mtu unaempenda utakuwa uongo,Sasa hapo kwenye kuumudu ndio tunapotofautiana.....yaani wewe unapata wivu Hadi unatetemeka wakati mi napata wivu hafifuuu naendelea na shughuli zangu
 
Kaka angu mbona simuoni.!! Umemficha wapi?
 
Watu wenye wivu mkali mara nyingi huhofia kuachwa na kutokuwa na uwezo wa kupats Mwanamke au mwanaume wa kiwango kilekile
basi mimi siko hivyo, kuogopa kuachwa huo ni udhaifu mwingine! wivu wangu unanituma kuachana nae mara moja ninapohisi hali yoyote ya usaliti..
 
Back
Top Bottom