Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Kwani shem unaa umeanza lini🤣🤣🤣🤣imenichoma sana hio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani shem unaa umeanza lini🤣🤣🤣🤣imenichoma sana hio
Amen amenSawa mtumishi. Tuombe uzima 🙏🏿
🤣🤣🤣🤣Mpaka kuna time inafika inabidi uigize tu kua una wivu, maana utamkwaza mwenzio.
Mtu gani huumii atahisi humpendi kumbe wala ni vile huumii kindezi.
kidogo nikueleweKuwa na wivu sio mbaya ila wivu mwingi ni dalili ya kuwa hujiamini na umiliki wa ulichonacho muda wowote unaweza nyang’anywa
Na siku zote mwizi huwa ana wivu sana maana anahisi anaibiwa kama anavyoiba yeye
Usidhan mtu kukuonea wivu sana ni anakupenda ni mtu anajilinda mwenyewe
Una pointi naomba usikilizwe!Kuwa na wivu sio mbaya ila wivu mwingi ni dalili ya kuwa hujiamini na umiliki wa ulichonacho muda wowote unaweza nyang’anywa
Na siku zote mwizi huwa ana wivu sana maana anahisi anaibiwa kama anavyoiba yeye
Usidhan mtu kukuonea wivu sana ni anakupenda ni mtu anajilinda mwenyewe
unanielewa unaweza elezea pia kidogoUna pointi naomba usikilizwe!
Hivyo yani👊👊Mpaka kuna time inafika inabidi uigize tu kua una wivu, maana utamkwaza mwenzio.
Mtu gani huumii atahisi humpendi kumbe wala ni vile huumii kindezi.
Kama una wivu kama niliokuwa nao mimi basi nikupe pole ,na Mungu akusaidie.Nikiri kwamba nina wivu kupita maelezo!
Hii hali mimi mwenyewe siipendi na hata hivyo nashindwa kuicontrol.
Sipendi kujiingiza kwenye mahusiano na wanawake kwa sababu hii hii!
Wakuu ni jinsi gani naweza kufanya ili kupunguza wivu?
Unajipigia debe sioIngia kwenye mahusiano na wanaume wenzio, ili usiwe na wivu.
We una miwivu yaliyozidi?Huyu km Mimi
Bora ukae single tu
,🤣Kuna mambo yanakera
😅 Sikuhizi naweza kuji control naona utu uzima pia.We una miwivu yaliyozidi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umejua kunifurahishaUna umri gani? Ila wivu wa kiboya haujali umri
[emoji23][emoji23]KhaWewe endelea kuwa singo maana STAKSHARI inakuita tulia tu uendelee kula maharagwe
Punguzeni wivu dunia yasasa ilivyo ukizidisha wivu sana mishipa ya fahamu itapasuka.😅 Sikuhizi naweza kuji control naona utu uzima pia.
Ila huyu mtoa madam naona kanizidi ,khaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema kweli.Na wenye wivu wa mapenzi [emoji23]
😅😅😅Punguzeni wivu dunia yasasa ilivyo ukizidisha wivu sana mishipa ya fahamu itapasuka.
Mleta madam eeh 😅
Inatakiwa uwe peke ako[emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji28]
Aah mi mtu mwenye asili ya polygamy simuwezi
NdioInatakiwa uwe peke ako[emoji16][emoji16]