Nina wivu wa kibwege sana

Nina wivu wa kibwege sana

Kuwa na wivu sio mbaya ila wivu mwingi ni dalili ya kuwa hujiamini na umiliki wa ulichonacho muda wowote unaweza nyang’anywa
Na siku zote mwizi huwa ana wivu sana maana anahisi anaibiwa kama anavyoiba yeye
Usidhan mtu kukuonea wivu sana ni anakupenda ni mtu anajilinda mwenyewe
kidogo nikuelewe
 
Una pointi naomba usikilizwe!
 
Nikiri kwamba nina wivu kupita maelezo!
Hii hali mimi mwenyewe siipendi na hata hivyo nashindwa kuicontrol.

Sipendi kujiingiza kwenye mahusiano na wanawake kwa sababu hii hii!

Wakuu ni jinsi gani naweza kufanya ili kupunguza wivu?
Kama una wivu kama niliokuwa nao mimi basi nikupe pole ,na Mungu akusaidie.
Jaribu kutembea na wanawake tofauti tofauti kwa wakati mmoja hii itakusaidia kupunguza hilo tatizo,nimesema kupunguza sio kumaliza ,fanya hivyo utakuja kunishukuru.
 
Mpendwa wngu kila anaponipigia simu kunijulisha jambo lazima kuna neno aliongeze na binafsi sioni umuhimu wa hiyo nyongeza. Hii inamaanisha nini? Mf nilikuwa naongea na kiongozi ni mwanamke au nilienda kumuona jirani yngu ni mdada wakati mwingine nipo na daktar ni wakike
 
Back
Top Bottom