Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,028
Angalia na kaedit haraka kabla jamaa LORDVILLE hajaja kukukosoa tena
Kwani Prof Kondoro siyo tena mkuu wa Chuo DIT?ah ah! toka ameingia pale Prof: Nyaumwa chuo kimeanza kurudi kama zamani, yule Prof: Kondolo alikua kama kaelemewa na majuku ivi so hata chuo kikaanza kupoteana..
Kwani Prof Kondoro siyo tena mkuu wa Chuo DIT?
Namshauri dogo aende huko DIT maana usije ukagonga Division four mbaya au zero ukapoteza uelekeo wa kimaisha,yupo dogo angu anapiga mambo hapo
kijana naona kama una uroho wa pesa ya haraka ndo maana unataka kufanya shortcat.kama unataka kuwa mtaalam kwenye fani yoyote usijaribu shortcut kwani soko la ajira linahitaji wasomi wenye digree moja au zaidi hivyo jiunge a lever. baadae chuo kikuu utafanikiwa
Ulimaliza mwaka gani DIT?
hii nayo ikoje?-diploma of engineering in mining engineering!!!!
Hehehehe Nyani haoni kundule LOL
Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012. Katika matokeo yangu nimebahatika kupata Div One ya point 11...PHY-A, CHEM-A, MATH-A, BIO-C, Additional MATH-B....ningpenda kujua kati ya A level na DIT (technical education) ipi ni nzur zaidi, na kama DIT ni kuzuri zaidi, je Mining Engineering ina soko katika ajira (wahandisi hulipwa mshahara gani?)
Asenteni.
usiangalie soko angalia wewe unapenda nini...mfano kama nikisema computer engineering inasoko kwa sasa je baada ya miaka sita au saba(ambapo wewe ndio utakua unamaliza degree ya kwanza) soko lake litakuaje??? KOZI INAWEZA KUA NA SOKO KWA SASA ILA BAADA YA MWAKA AU MIAKA MINNE SOKO LIKAJAA!!! cha msingi cheki nini unapenda!!Naomba unisaidie ipi ni marketable compt eng vs telecom eng kwa sasa
Mi ni engineer niliyesomea hiyo kitu COET,mdogo wangu usithubutu kufanya hiyo kitu imepitwa na wakati labda petroleum engineering itakutoa
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums