Ninaamini asilimia 80% ya watu duniani wanafurahi Israel inaposhambuliwa

Ninaamini asilimia 80% ya watu duniani wanafurahi Israel inaposhambuliwa

11 Septemba 2024

MAKUMI YA WABUNGE WA AFRIKA WATAKA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA KUIUNGA MKONO ISRAEL

1727895017011.png


Makumi ya wabunge wa Afrika kutoka nchi 17 wametoa wito kwa wakuu wa nchi za Afrika kuiunga mkono Israel na kutambua Jerusalem kama mji mkuu wake.

Azimio hilo lililotiwa saini na takribani wanachama 40 wa muungano unaounga mkono Israel, halibadili msimamo rasmi wa Umoja wa Afrika.

Lakini ni msukumo wa kidiplomasia kwa Israel wakati wa ukosoaji wa kimataifa kuhusu mwenendo wake wa vita dhidi ya Hamas huko Gaza.

Pia ni tamko kamili la kuunga mkono Israel kama mwangalizi wa AU, hadhi iliyotolewa kwa Palestina.

Israel ilishikilia wadhifa huo kwa muda mfupi lakini ilisimamishwa mapema mwaka jana.

Azimio hilo halitaji Vita vya Gaza. Badala yake, inasema kuanguka kutokana na shambulio la Hamas la tarehe 7 Oktoba, ambalo lilianzisha mzozo huo, kumesababisha "kuongezeka kwa chuki dhidi ya Wayahudi."

Inatoa wito kwa wakuu wa nchi za Kiafrika kuthibitisha kwamba Yerusalemu ni "mji mkuu halali, usiogawanyika na wa milele wa Israel."

Inalaani ghasia za Hamas na makundi mengine yenye silaha ya Palestina, lakini pia inalaani "mashambulizi ya kisheria" dhidi ya Israel katika Umoja wa Mataifa, Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) na Mwanachama wa AU, Afrika Kusini amefungua kesi katika mahakama ya ICJ akiishutumu Israel kwa kutekeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina huko Gaza.

Azimio hilo linarejelea “mafundisho ya kimaandiko,” yakiakisi Biblia ambayo kwayo baadhi ya Waafrika huitazama Israel. Inaunga mkono Makubaliano ya Abraham, makubaliano ya nchi mbili yanayorekebisha uhusiano kati ya Israel na baadhi ya mataifa ya Kiarabu.

Haya yalikuzwa kwa mara ya kwanza na utawala wa Trump lakini yamekuwa nguzo ya sera za kikanda za Marekani.
 
Sema wafuasi wa allah na shoga yake marehemu muhammad ndio wanafurahi bila kujua wiki ijayo viongozi wao wanaanza kuchezea risasi za tako.
Kwani ungemtukana yeye mwenyewe ungepungukiwa na nini mtanzania mwenzangu?

Unamtukana Mtume Muhammad kakufanyaje?
 
Jana watumishi wengi tu wa kikristo Palestina walikua Barabarani wanafurahia
View attachment 3113513

Udini upo kwa Wakristo wa Africa, Wahindu na Wakristo wa Usa, otherwise Wakristo wa South America, Middle East, Ulaya Majority, Asia etc wengi wapo Against.
Hawa wakristo wa jf wengi hawajielewi kuna wachache tuh akili zimo ila wengine cjui wanawaza vip
 
Sisi watu wa Mungu hatupendi mauaji na vita kama hivi na na Mungu wetu hapendi hayo yanayoendelea,na kushabikia ni kumkasirisha Mungu na mamlaka zake!
 
Ni imani yako tu, yes hamna data zozote so yeyote anaweza kuamini lolote, kama kuamini ukifa unaenda kupata nyuchi 72, wkt umeziacha ukiwa hai
 
Hulka ya Mwanadamu huwa anachukia Mtu mwenye maguvu anayeonea wanyonge, ndio maana mnyonge anapoamua kupambana wengi watamuunga mkono hata kimoyomoyo . Mfano siku itokee Marekani kuanguka iwe kwa kupigana au kuwa janga la asili kama tetemeko au gharika UNAFIKIRI KUNA ATAKAYEMUONEA HURUMA. Na yote hii ni kwasababu watu wengi hawapendezwi na UBABE , UONEVU NA KIBURI CHA MAREKANI
unaadika ukiwa wapi, kama uko Tz utakuwa una shida upstairs! ulicheki Ile list ya misaada toka USA kwa taifa lako chovu la Tz?

mmelala hakuna mnachoweza, zaidi ya kukopa na kuomba misaada ndio muendeshe maisha/nchi yenu. Huduma za kijamii zote ili zipatikane ni hadi mkope na kusaidiwa! shame on u.

ni utaahira kushangilia baba yako akipigwa!!!!

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Serikali nyingi duniani haziwezi kuonyesha waziwazi support yao kwa kuwahofia wakubwa wa Ulaya na Marekani
Hakuna kitu kama hichoo

Nakupa hoja mbili.

1.waarabu wengi kama nchi za UAE 🇦🇪 na zingine zenye mrengo wa kiuchumi hiyo biashara hawaitakii wanajua kabisa kitakacho tokea kwenye nchi zao ni mbya na hawataki


2.Sisi tusio wanafiki kwa maana ya wapenda amani duniani kote tumechukizwaa sana na hatua ya Iran na tunajua atalipaaa very soon
Swali kwako IRan 🇮🇷 ni taifa linalojitegemea wewe kwa akili yako LEBANON kupigwa inamuhusu nini ,na Hamas tumia akilia
 
unaadika ukiwa wapi, kama uko Tz utakuwa una shida upstairs! ulicheki Ile list ya misaada toka USA kwa taifa lako chovu la Tz?

mmelala hakuna mnachoweza, zaidi ya kukopa na kuomba misaada ndio muendeshe maisha/nchi yenu. Huduma za kijamii zote ili zipatikane ni hadi mkope na kusaidiwa! shame on u.

ni utaahira kushangilia baba yako akipigwa!!!!

JESUS IS LORD&SAVIOR
Check jinsi ulivyokasirika eti sababu nimeikosoa Marekani. Tena unaonekana umechukia sana hadi UNAIBEZA TZ. KAMA WEWE NI MZUNGU BASI SITAKUSHANGAA, LAKINI KAMA WEWE NI MUAFRIKA TENA TZ BASI WEWE NI TABU LA RASA.

Ulivyo mjinga unajiona na wewe ni ukoo wa Trump au Biden au asili yako ni pale Nazareti.

MIAFRIKA MIJINGA SANA NA NDIO MAANA WAHINDI HAWAITAKI HII MBEGU
 
Check jinsi ulivyokasirika eti sababu nimeikosoa Marekani. Tena unaonekana umechukia sana hadi UNAIBEZA TZ. KAMA WEWE NI MZUNGU BASI SITAKUSHANGAA, LAKINI KAMA WEWE NI MUAFRIKA TENA TZ BASI WEWE NI TABU LA RASA.

Ulivyo mjinga unajiona na wewe ni ukoo wa Trump au Biden au asili yako ni pale Nazareti.

MIAFRIKA MIJINGA SANA NA NDIO MAANA WAHINDI HAWAITAKI HII MBEGU
Unazungumzia wahindi hawa wabongo au wa kule India wanaokunya vichakani. Au wahindi ambao wamejazana mtandao wa Facebook kutwa nzima wanawapigia dada zetu video call wakionesha nyuchi zao.
 
Back
Top Bottom